- Thread starter
- #21
Umeeleweka vizuri Sana mkuu, na nimejitahidi kufanya hvyo hapo jui1.professional summary
2. Personal details &Contact info
3. Work experience and achievement
4.education background
5.skills
Jitahidi kama unaandaa kwa ajili ya international uhakikishe auachi gap ya mwaka hata kama ukuwa na kazi jaza ulichokuwa unafanya maana wazungu wanachojua ni ulikuwa jela na unaweza kukosa kibarua na wanahamini mtu awezi kusarvive bila kufanya kazi hivyo your have to indicate hata kama ulikuwa unauza duka la nyumbani kwenu , onyesha I hope nimeeleweka