Umeeleweka vizuri Sana mkuu, na nimejitahidi kufanya hvyo hapo jui1.professional summary
2. Personal details &Contact info
3. Work experience and achievement
4.education background
5.skills
Jitahidi kama unaandaa kwa ajili ya international uhakikishe auachi gap ya mwaka hata kama ukuwa na kazi jaza ulichokuwa unafanya maana wazungu wanachojua ni ulikuwa jela na unaweza kukosa kibarua na wanahamini mtu awezi kusarvive bila kufanya kazi hivyo your have to indicate hata kama ulikuwa unauza duka la nyumbani kwenu , onyesha I hope nimeeleweka
Shukran sana KiongoziAll the Best
Sasa braza mfano labda ulikuwa dreva bajaji utaweka kwny CV kweli mkuu1.professional summary
2. Personal details &Contact info
3. Work experience and achievement
4.education background
5.skills
Jitahidi kama unaandaa kwa ajili ya international uhakikishe auachi gap ya mwaka hata kama ukuwa na kazi jaza ulichokuwa unafanya maana wazungu wanachojua ni ulikuwa jela na unaweza kukosa kibarua na wanahamini mtu awezi kusarvive bila kufanya kazi hivyo your have to indicate hata kama ulikuwa unauza duka la nyumbani kwenu , onyesha I hope nimeeleweka
Kama inahusiana na unachoomba labda udereva kwanini usiwake?Sasa braza mfano labda ulikuwa dreva bajaji utaweka kwny CV kweli mkuu
Let say ni Profesional nyingine😅labda advocate company nikaweka na cheti cha dereva as my extra curriculumKama inahusiana na unachoomba labda udereva kwanini usiwake?
It depends, that's why in some of the jobs adverts they indicate, some other certificates is an advantage na huwa wanavitajaLet say ni Profesional nyingine😅labda advocate company nikaweka na cheti cha dereva as my extra curriculum
Make nakumbuka kuna mdau wangu aliweka cheti cha jkt 🤣kazi ilikua ni uhasibu but now ni mlinzi tu freshIt depends, that's why in some of the jobs adverts they indicate, some other certificates is an advantage na huwa wanavitaja
Alipata? Au alipata kazi ambayo hakuiomba?Make nakumbuka kuna mdau wangu aliweka cheti cha jkt 🤣kazi ilikua ni uhasibu but now ni mlinzi tu fresh
Alipata kazi ambayo hakuiomba ni kampuni nzuri tu ilyomuajiri ni kampuni ya BIMA hapo dsmAlipata? Au alipata kazi ambayo hakuiomba?
Basi aliokota Dodo kwenye MbuyuAlipata kazi ambayo hakuiomba ni kampuni nzuri tu ilyomuajiri ni kampuni ya BIMA hapo dsm
Anachapa ulinzi mshahara Sema ni mzuri sio mbaya kwa kazi ya ulinziBasi aliokota Dodo kwenye Mbuyu
Ulishawahi kusikia kitu kinaitwa career break?Sasa braza mfano labda ulikuwa dreva bajaji utaweka kwny CV kweli mkuu
Una maana ya kwambaUlishawahi kusimia kitu kinaitwa career break?
Rudi uksome tena nime editUna maana ya kwamba
Yes mkuu nilishawahi kusikia several timesUlishawahi kusikia kitu kinaitwa career break?
Unaweza kuweka hiyo kwenye gepuYes mkuu nilishawahi kusikia several times
Naweka mwishoni Baada ya kusema na attach na vyeti ama?Unaweza kuweka hiyo kwenye gepu