Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 18,813
- 21,830
Salaam kwenu heshima mbele!
Naamini lengo JK lilikuwa zuri kuigawa Wilaya ya Bagamoyo na kujenga bandari ili Bagamoyo iwe Port City. Hakuna vijiji wala nini; sasa kilichotokea wilaya imeisha kabisa haina maana hata kuitwa wilaya.
Ina square km 25 tu. Urefu wake na upana means 625 sq km tu. Vyanzo vyote mapato vimeenda Chalinze. Bagamoyo wauze samaki mnada, bus kwenda Dar na chumvi kitame basi hakuna zingine.
Awamu hii pendwa hamuoni ipo haja kama bandari hakuna, basi unganisha iwe Ubungo tujue moja!