Naililia Bagamoyo! JK amewaachaje?

Naililia Bagamoyo! JK amewaachaje?

Hayo aliyoyaeleza unayaamini vipi? inamaana watu woote waliofanya fisibility study hawakuyaona isipokuwa yeye peke yake?? kwan si alikuwa Waziri wa Ujenzi alishindwaje kushauri ipasavyo??

huyu anataka kuacha alama zake mwenyewe ndio maana alisema Mradi wa Stiglaj goji uanze kabla mrithi wake hajaja asije akaukataa
Aliyaongea mbele ya wahandisi wote na mbele ya camera zote , na wahusika wapo wana nafas ya kumkosoa kama ni uongo ...
 
Labda tuseme kikwete alikosea kuweka mfumo ndani ya chama na serikalini ambao ungemlinda yeye na maslahi yake na walio wake.

Au angali kaa meza moja na mheshimiwa kabla na baada ya kumkabidhi madarakani na kumpa abc za yale angependa yaendelezwe baada ya yeye kutoka madarakani.

Au nageunga tu juhudi za mheshimiwa na kusifu kama inavyotakikana na kumpenyezea mawili matatu anatamani ayaendeleze.
Kama kwa mzee mwinyi alivyo kua upande wa mh kwa asilimia ikapelekea mwanae kua rais.
 
Salaam kwenu heshima mbele!

Naamini lengo JK lilikuwa zuri kuigawa Wilaya ya Bagamoyo na kujenga bandari ili Bagamoyo iwe Port City. Hakuna vijiji wala nini; sasa kilichotokea wilaya imeisha kabisa haina maana hata kuitwa wilaya.

Ina square km 25 tu. Urefu wake na upana means 625 sq km tu. Vyanzo vyote mapato vimeenda Chalinze. Bagamoyo wauze samaki mnada, bus kwenda Dar na chumvi kitame basi hakuna zingine.

Awamu hii pendwa hamuoni ipo haja kama bandari hakuna, basi unganisha iwe Ubungo tujue moja!
Kwa kweli na sisi tuliitikia wito wa kuwekeza Bagamoyo tumelamba mavumbi!
 
Kapanda mbegu mbaya Sana nchini KILA ajae kwao kwanza kuwe sawa na ulaya.
 
Hayo aliyoyaeleza unayaamini vipi? inamaana watu woote waliofanya fisibility study hawakuyaona isipokuwa yeye peke yake?? kwan si alikuwa Waziri wa Ujenzi alishindwaje kushauri ipasavyo??

huyu anataka kuacha alama zake mwenyewe ndio maana alisema Mradi wa Stiglaj goji uanze kabla mrithi wake hajaja asije akaukataa
Kuna waziri anayeweza kumpinga rais katika nchi hii, JPM alikuwa kwenye wizara hiyo ya ujenzi asingeweza kumpinga rais wake japo alijua hiyo deal ni wizi mtupu.
 
Kiwanja cha ndege kujengwa chato na kuanzisha safari za ndege huko sio unyonyaji?hivi nani aende chato?

Ukimuona huyu mobutu seseko wa tanzania mstue mwambie siku atapomaliza muda wake atakuta watoto wameweka magoli kwenye uwanja wa ndege wanacheza mpira wa makaratasi.

Ukimuona mstue mwambie aache ubinafsi.
chuki binafsi haita kuongezea chochote maishani.Kwani huko chato wanaishi wanyama??????(eti ataenda nani ).tafta hoja zenye mashiko na sio kubeza binadamu wengine
 
Back
Top Bottom