Naililia Bagamoyo! JK amewaachaje?

Aliyaongea mbele ya wahandisi wote na mbele ya camera zote , na wahusika wapo wana nafas ya kumkosoa kama ni uongo ...
 
Labda tuseme kikwete alikosea kuweka mfumo ndani ya chama na serikalini ambao ungemlinda yeye na maslahi yake na walio wake.

Au angali kaa meza moja na mheshimiwa kabla na baada ya kumkabidhi madarakani na kumpa abc za yale angependa yaendelezwe baada ya yeye kutoka madarakani.

Au nageunga tu juhudi za mheshimiwa na kusifu kama inavyotakikana na kumpenyezea mawili matatu anatamani ayaendeleze.
Kama kwa mzee mwinyi alivyo kua upande wa mh kwa asilimia ikapelekea mwanae kua rais.
 
Kwa kweli na sisi tuliitikia wito wa kuwekeza Bagamoyo tumelamba mavumbi!
 
Kapanda mbegu mbaya Sana nchini KILA ajae kwao kwanza kuwe sawa na ulaya.
 
Kuna waziri anayeweza kumpinga rais katika nchi hii, JPM alikuwa kwenye wizara hiyo ya ujenzi asingeweza kumpinga rais wake japo alijua hiyo deal ni wizi mtupu.
 
chuki binafsi haita kuongezea chochote maishani.Kwani huko chato wanaishi wanyama??????(eti ataenda nani ).tafta hoja zenye mashiko na sio kubeza binadamu wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…