Naim Qassem akataa kuongoza Hezbollah na ajiuzulu, Sheikh Ibrahim Amin naye akataa Uteuzi kuongoza Hezbollah

JF siku hizi kuna utoto mwingi sana karibu kila kona.

Yani ni mpaka kwenye majukwaa ya wasomi kama hili la International Forum watoto wamelivamia.

Mbaya zaidi, vitoto hivyo vinaleta taarifa zisizo na ukweli wowote(Unverified news) na kuanza kuzichambua kishabiki.

Inasikitisha sio siri.
 
Nani asiyetaka kuishi?

Sheikh Ibrahim na Naim Qassem wameona wasifanywe maboya...hata wao wana watoto wanaowategemea

Tena Naim Qassem alisema huku analia machozi kabisa maskini
Si walivunje tu hilo li kikundi wafanye mambo mengine?

Kwani pepo ya kiislamu kuiona ni lazima upigane vita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…