BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Hapa ndo stori za nani anasababisha kifo kwenye vitabu vya dini inanishinda kuelewa. Sote ni mashahidi Mosad, CIA, FSB na wengine wakali wa vifo vya kuvizia wakiku label kuwa wanted, linabaki suala la muda tu lazima ulambe mchanga. Ina maana haya majamaa yanatumiwa na anayepanga vifo kwenye vitabu vyetu?