Naingia gharama za uzinzi niliofanya mwezi huu

Naingia gharama za uzinzi niliofanya mwezi huu

Kijana usifanye kosa la kuoa. Hawa wanawake ni kama mkopani tuu. Full adabu kabla ya kupata hiyo pete. Ukishamuoa ndio utajua true colours zake. Yaani utashangaa mwenyewe na roho yako. Hizo garama mbona ndongo ukilinganisha na kukosa uhuru wako, kulilisha jitu zima lenye miguu na mikono miwili, kuoangiwa siku ya kula mbususu.
Fear women my friend. They are a weapon of mass destruction!

Ahah
 
Miso??mbona hazifanyikazi,vinatibu TU vidonda vyatumbo nakusaidia kuzaa mtoto shadede.Ila kutoa mimba havitoi wamegundua vingine
Mama vinatoa sana tu
Wameona wapotezee kwakuwa watu walikuwa wanatumia sana. Hizo ni hila tu.
Labda kwa side effects hapo ndo naona kuna hoja
 
Yan mwezi huu march tu hata haujaisha
Ushagonga pisi 3?
Kuna watu mna ka umalaya ka asili 🤣🤣🤣
MWANAUME ni kama jogoo au dume la sungura
Kwenye masaa 24
Linaweza piga show mbususu hata 24 per day...
🤓🤓Na miwani zangu za ki DR. Nimekaa pale
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
MWANAUME ni kama jogoo au dume la sungura
Kwenye masaa 24
Linaweza piga show mbususu hata 24 per day...
🤓🤓Na miwani zangu za ki DR. Nimekaa pale
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
😀😀😀 Uo u Dr ndo ule wa babu tale
 
889318A7-7714-4710-9591-201EEF59F8CA.jpeg
 
Back
Top Bottom