Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Kwani maandalizi ya sex huwa mnafanya baada ya kukutana?Huo mda unakuwepo?
Vichwa vya chini vikishika hatamu huwa watu wanakumbuka siku za hatari wakiwa kwenye commercial break
Haipaswi kuwa hivyo. Mnapopanga miadi pale ndiyo kila mmoja awe muwazi kwa mwenzake haswa mwanamke. Hii ni kuandaana kisaikllojia.
Kukutana mfanye hivyo kila mmoja akiwa tayari anajua hali ya mwenzake.