Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Dah hadi wewe jiraniNi bei gani?
Ila miso si mchezo aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah hadi wewe jiraniNi bei gani?
Ila miso si mchezo aisee
Hahahaaaaa hamna jirani,nilipewa story zake sehemu na mshkaji vile aliitumia.U hali gani afya yako lakini jirani?Dah hadi wewe jirani
Jirani usijaribu hizo ma kitu..Hahahaaaaa hamna jirani,nilipewa story zake sehemu na mshkaji vile aliitumia.U hali gani afya yako lakini jirani?
Njoo pm nkupe beiLeta bei za familia😂😂 au unataka nikuchakate na ww afu nikuuzie miso
PmNi bei gani?
Ila miso si mchezo aisee
Usiharibu biashara na wewe. Si ushamuona ashakuwa mteja wangu tayarMkuu nitafute inbox nikupe Misso Grade 1 kwa bei ya kutupa kabisa
Zina Expire date 2025
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Siwezi jirani,nafurahi kama upo poa. Weekend ipo vzr tu,napumzika tu getto hapa ni kuangalia mpira tu.Vip ww unajichanganya katikati ya mji?(stand ndogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787])Jirani usijaribu hizo ma kitu..
Me sijambo. Za wkend?
Ufunguo unaofungua kila kufuli hutunzwa.Yan wangempopoa angejuta
Wakati vitu ni sawa tu, haina makombo 🤣
Jmos leoSiwezi jirani,nafurahi kama upo poa. Weekend ipo vzr tu,napumzika tu getto hapa ni kuangalia mpira tu.Vip ww unajichanganya katikati ya mji?(stand ndogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787])
Wacuba tushaelewa kilichotokea hasa hapo uliposema "mimba zilisumbua sana kutoka"Bila shaka kuna mbinu mpya imeingia ya kupiga hela za wanaume pasipo sie kujua
Mke wangu(yupo mbali kidogo na mimi kama km 30 hv,huwa naenda kumuona mara moja moja),huwa kuna mtu huwa anampa taarifa zangu zote kwa ninayoyafanya hasa ya wanawake.
Alishawahi niambia kuwa utakuja kusingiziwa mimba nyingi tu zingine hata zisizo kuwa zako
Na kweli bhana toka aniambie hata hazijapita miezi mingi nikajikuta naambiwa na wanawake wawili tofauti eti wanamimba na huyo mmoja baada ya kumaliza mambo yetu nilimpa p2 akaenda kumeza kwao lakin akaniambia eti kapata mimba
Hawa wanawake wote wawili mpaka kuzichomoa hzo mimba nimetumia almost 200,000 maana zilisumbua sana kutoka,kwahyo nikaanza na kuhudumia kuridisha mwili vizur mpaka sasa nimekoma,nimeanza mchakato wa kuwaacha taratibu ni baki na mke wangu tu
Kuna mwingine nimemaliza kumla wiki chache zilizopita nae nasubir kuambiwa kama amenasa maana alinishitukiza na game ya usiku sana na kondom sikuwa nazo nae hakuwa na pakulala na nilishindwa kumuacha lodge peke yake
We ni ke au me?Aisee bila hii mnaiita miso saivi ningekuwa na watoto wanne, sijui nilikuwa nawahi wapi
Aaah jamaani Tengeru! Hapo Sumni pazuri kupumzika kidogo.Ratiba ingekuwa vizuri ningepanda daladala nifike hapo tuchome choma na ndizi 4,enjoyJmos leo
Tengeru moja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa nitachukua ushauri wako na kuufanyia kaziKwahiyo unataka yeye akulishe wewe? Nyie wanaume wa wapi? Anyways toa nyuma mkuu hutaingia gharama.
Asante kwa kunisanuwaWacuba tushaelewa kilichotokea hasa hapo uliposema "mimba zilisumbua sana kutoka"
Wacuba wenzangu naomba mnisamehe kwa kutoa siri za kambi....
😂😂😂🙌🙌🙌