Naingia gharama za uzinzi niliofanya mwezi huu

Naingia gharama za uzinzi niliofanya mwezi huu

Huo mda unakuwepo?
Vichwa vya chini vikishika hatamu huwa watu wanakumbuka siku za hatari wakiwa kwenye commercial break
Kuna sehem inaitwaga point of no return, hapo wanaume ndo tunapopigwa hasa. Dem akikukazia hapo kama una hela mfukoni atazichukua zote bila wewe kujijua
 
Japo hujataka kunijibu kuhusu huyo wa kwenye avatar ila nahisi ndio kasababisha yote hayo khaaaa watoto watatu kwa mpigo
 
Back
Top Bottom