Naingia katika biashara ya korosho za kurost naombeni order zenu wadau

Naingia katika biashara ya korosho za kurost naombeni order zenu wadau

chala41

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2024
Posts
300
Reaction score
606
Jamhuri ya muungano wa Tanzania

Amani iendeleee wananchi .

Baada ya maneno hayo mazito napenda kuchukua fursa hii kuwatanabaisha ndugu zangu wajarsiriamali na wazalendo ,wapenda uhuru wapenda amani kokote mlipo duniani

Huu uzi uwafikie watu wote

Bila kupoteza muda nimekaa na kuwazua nikaona ajira pekee haitoshi kufika target zangu za kuwa na economic muscles

Nikaona gap la kuanza kusambaza korosho kwa bei elekezi tu ambayo kila mfanya biashara anaetaka kununua kwangu atafaidika na faida lukuki.

Unakosaje kwa mfano? Unakosaje

Ipo hivi sina brand ndio naanza moja kwa kijiti kwa hiyo hakuna ubabaifu hata chembe ndio kwanza nawasha mtambo

Hakuna mtu atalipia alafu asitumiwe mzigo wake maana itakuwa huo ni utapeli wa kuaminika

Alafu nje ya jamiiforums ntakuwa nimeshusha sana brand yangu niliyotengeneza kwa muda mrefu.SIWEZI KUZIMA SIMU KISA LAKI MOJA MPKA MILION 50 .SIWEZI SIWEZI SIWEZI

KOROSHO NATOA HAPA HAPA MTWARA KWENDA MIKOA YOTE

tuna korosho nzuri na tamu za aina mbili

1. Roasted na
2. Nyeupe

For more info tutaweka utaratibu

Tunashukuru sana.

Mchedange Mtwara
 
Back
Top Bottom