Naingia kwenye kufuga kuku chotara (Saso)

Vip kuhusu azola
 
Hawa jamaa walienda wap mbn hawatuletei tena mrejesho au hali tete
 
Mwenye mayai ya sasso au kroiler nahitaji trey tatu ,!
NB: yasiwe na mda mrefu naitaji kutotoresha!!
 
Mrejesho nitaleta mapema tarehe za mwanzoni za mwezi huu. Majukumu ni mengi sana na muda ni mchache.

Tunaowapa nafasi ya kutusaidia wanakuwa sehemu ya kukwamisha mapambano.
 
Hujasema gharama za chanjo na dawa zingine,pia vipi kuhusu ubora Wa mchanganyiko wa chakula,pia ukusanyaji wa mayai Kwa siku kumi Ili uweze kutotolesha,ni mazingira yapi ya joto ya baridi au,je vipi gharama za kutotolesha na ubora Wa mayai na mashine ya kutotolesha,?
 
Dah kaka darasa lako zuri
 
1. SASSO hawatamii
2. Mashine kama ni nzuri inatotoresha kwa ufanisi kuliko hata kuku mwenyewe
3. Kwa ufanisi vitamini ni suala endelevu
 
Kaka hicho kiwanda kiko wapi mana na mimi niko kahama labda unaweza kutusaidia kwenye swala la soko
 
Sasa mwaka umetimia vipi umefanikiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…