JS Dairy Farm
JF-Expert Member
- Feb 13, 2022
- 331
- 744
Kila la heri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majukumu ni mengi sana, mrejesho nautoa leo Apr 10, 2023Dah, Hawa jamaa wa mirejesho ndo wamepotea mazima!
Kweli ufugaji Ni changamoto!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Utakuwa umefanya jambo jema sana kwa hilo.Majukumu ni mengi sana, mrejesho nautoa leo Apr 10, 2023
Pole sana ...nilipata shaka pale uliposema chotara 25 watakula debe moja mwezi...nikajua umeisha kuwa MandongaMrejesho wa mwisho kwa waliokuwa wanasubiri.
Mrejesho huu nitautoa vipande vitatu.
1. Matatizo
2. Mafanikio
3. Kufeli
4. Maoni na mapendekezo
1.
Ufugaji ni sayansi ngumu sana kama utakiuka kanuni, na ufugaji ni sayansi rahisi sana kama utafuata kanuni. Japo pamoja na kufuata kanuni bado kina mambo mengi sana nyuma ya kanuni zinaweza kuifanya sayansi hii kuwa ngumu.
Pamoja na kuaminishwa kuwa kuku chotara hawasumbuliwi na magonjwa, ukweli unaojificha ni kwamba kuku hawa wanasumbuliwa sana na magonjwa hasa ya mafua na kuhara.
Tangu mwezi nilipoanza kufuga kuku hawa chotara nilikua nahangaika na magonjwa hayo ambayo yalikua yanajirudia rudia kila mara pamoja na jitihada za kufuata kanuni mfano kuwajengea banda la juu lenye wavu, kusafisha vyombo vya chakula na maji mara tatu kwa siku.
Hali hiyo ya magonjwa ilinifanya kutumia gharama nyingi kwa kununua dawa kabla ya kuzifahamu dawa za kienyeji(alovera, tangawizi na vitunguu swaumu) na dawa za binadamu ambazo zilinipunguzia gharama kidogo.
Pia kuku hawa wanaathirika sana na lishe, ikitokea hawapati chakula cha kutosha au chenye virutubisho vyote huwa wanaathirika katika ukuaji na uzito kwa ujumla.
Kuku chotara wanaandaliwa kuwa wa nyama au mayai tangu wakiwa wadogo, hivyo basi lishe yao lazima izingatie malengo ya kuku wako. Asilimia kubwa ya wafugaji tulijikuta mpaka kuku anafikisha miezi sita hawatagi, hii ni kutokana na kuku hao hawakuandaliwa kilishe kwa ajili ya mayai
Na tatizo la mwisho nililoliona ni hawana ukuaji wa usawa (uniform growth), hivyo kupelekea kutokua na bei moja kwa kuku wote.
Hivyo basi kabla hujaingia kwenye ufugaji wa kuku chotara zingatia matatizo hayo ambayo wafugaji wengi hawayasemi.
2.
Kuku hawa wanalipa sana, ilipofika kipindi cha kuwauza unatamani ungekua nao zaidi ya elfu moja. Ni kuku ambao wakifikia umri wa kuanzia miezi minne wanasoko kubwa ikiwa uliwafuga vizuri na ikiwa hawanadalili za ugonjwa wowote
Kwa ufupi nilifanikiwa kuuza kuku wote kwa muda mfupi sana na kwa hela nzuri pia, japo gharama za uendeshaji zilifanya faida iwe ndogo sana.
Mbolea ni moja ya vitu vinavyoongeza kipato kwa kuku hawa, kwani kutokana na kula sana pia wanatoa mbolea nyingi sana.
3.
Kuna vitu vingi sana vilinifelisha.
Kwanza kabisa eneo nililokua nalo ni dogo hivyo kuku walikua hawapati nafasi ya kutoka nje ya banda na kupata hewa safi nyingi na kula majani kwa wingi.
Pili matatizo yote niliyoelekeza hapo juu yalinifelisha kuendelea na mradi huu, na niliamua kuuza kuku wote na kusitisha mradi.
4.
Mfugaji mpya unaetaka kuanza kufuga kwa sasa hakikisha unafuata taratibu zote za biosecurity wakati wa ufugaji wako. Ila pia kama utakua huna mtaji wa kutosha anza na kuku wa kienyeji ili kupata uzoefu kwanza.
Zingatia kufeli ni sehemu ya kujifunza, nimejifunza mengi sana na nnaweza kusema kwa sasa nimekua mwalimu.
Nyongeza nimeanza tena mwezi huu april lakini kwa sasa nafuga pure kienyeji kesho banda linakamilika nianze kutafuta kuku then nitaleta mrejesho tena.
Lengo ni kufikisha kuku wasiopungua 200 mpaka 500 mpaka dec mwaka huu.
Eneo la ufugaji ni newala-mtwara
Nawasilisha...
Shukrani kwa mrejesho.Newala ulikuwa unawalisha mtama au.Mrejesho wa mwisho kwa waliokuwa wanasubiri.

Nashukuru kwa mrejesho, kwa haya uliyoandika nimepata kitu. Muhimu kuzidi kusonga mbele zaidi hakuna kurudi nyuma.Mrejesho wa mwisho kwa waliokuwa wanasubiri.

Asante sana ndugu. Karibu katika ufugajiNashukuru kwa mrejesho, kwa haya uliyoandika nimepata kitu. Muhimu kuzidi kusonga mbele zaidi hakuna kurudi nyuma.
Mungu akijalia nami ntaanza kufuga kuku wa kienyeji mwezi wa nane
Itoshe kusema kwamba uwe na safari katika hili ulilolianza pia[emoji110]️
Dawa gani za binadamu ulikuwa unawapa na kiwango gani,na za magonjwa yapi huenda ukatusaidia zaidiMrejesho wa mwisho kwa waliokuwa wanasubiri.
Mrejesho huu nitautoa vipande vitatu.
1. Matatizo
2. Mafanikio
3. Kufeli
4. Maoni na mapendekezo
1.
Ufugaji ni sayansi ngumu sana kama utakiuka kanuni, na ufugaji ni sayansi rahisi sana kama utafuata kanuni. Japo pamoja na kufuata kanuni bado kina mambo mengi sana nyuma ya kanuni zinaweza kuifanya sayansi hii kuwa ngumu.
Pamoja na kuaminishwa kuwa kuku chotara hawasumbuliwi na magonjwa, ukweli unaojificha ni kwamba kuku hawa wanasumbuliwa sana na magonjwa hasa ya mafua na kuhara.
Tangu mwezi nilipoanza kufuga kuku hawa chotara nilikua nahangaika na magonjwa hayo ambayo yalikua yanajirudia rudia kila mara pamoja na jitihada za kufuata kanuni mfano kuwajengea banda la juu lenye wavu, kusafisha vyombo vya chakula na maji mara tatu kwa siku.
Hali hiyo ya magonjwa ilinifanya kutumia gharama nyingi kwa kununua dawa kabla ya kuzifahamu dawa za kienyeji(alovera, tangawizi na vitunguu swaumu) na dawa za binadamu ambazo zilinipunguzia gharama kidogo.
Pia kuku hawa wanaathirika sana na lishe, ikitokea hawapati chakula cha kutosha au chenye virutubisho vyote huwa wanaathirika katika ukuaji na uzito kwa ujumla.
Kuku chotara wanaandaliwa kuwa wa nyama au mayai tangu wakiwa wadogo, hivyo basi lishe yao lazima izingatie malengo ya kuku wako. Asilimia kubwa ya wafugaji tulijikuta mpaka kuku anafikisha miezi sita hawatagi, hii ni kutokana na kuku hao hawakuandaliwa kilishe kwa ajili ya mayai
Na tatizo la mwisho nililoliona ni hawana ukuaji wa usawa (uniform growth), hivyo kupelekea kutokua na bei moja kwa kuku wote.
Hivyo basi kabla hujaingia kwenye ufugaji wa kuku chotara zingatia matatizo hayo ambayo wafugaji wengi hawayasemi.
2.
Kuku hawa wanalipa sana, ilipofika kipindi cha kuwauza unatamani ungekua nao zaidi ya elfu moja. Ni kuku ambao wakifikia umri wa kuanzia miezi minne wanasoko kubwa ikiwa uliwafuga vizuri na ikiwa hawanadalili za ugonjwa wowote
Kwa ufupi nilifanikiwa kuuza kuku wote kwa muda mfupi sana na kwa hela nzuri pia, japo gharama za uendeshaji zilifanya faida iwe ndogo sana.
Mbolea ni moja ya vitu vinavyoongeza kipato kwa kuku hawa, kwani kutokana na kula sana pia wanatoa mbolea nyingi sana.
3.
Kuna vitu vingi sana vilinifelisha.
Kwanza kabisa eneo nililokua nalo ni dogo hivyo kuku walikua hawapati nafasi ya kutoka nje ya banda na kupata hewa safi nyingi na kula majani kwa wingi.
Pili matatizo yote niliyoelekeza hapo juu yalinifelisha kuendelea na mradi huu, na niliamua kuuza kuku wote na kusitisha mradi.
4.
Mfugaji mpya unaetaka kuanza kufuga kwa sasa hakikisha unafuata taratibu zote za biosecurity wakati wa ufugaji wako. Ila pia kama utakua huna mtaji wa kutosha anza na kuku wa kienyeji ili kupata uzoefu kwanza.
Zingatia kufeli ni sehemu ya kujifunza, nimejifunza mengi sana na nnaweza kusema kwa sasa nimekua mwalimu.
Nyongeza nimeanza tena mwezi huu april lakini kwa sasa nafuga pure kienyeji kesho banda linakamilika nianze kutafuta kuku then nitaleta mrejesho tena.
Lengo ni kufikisha kuku wasiopungua 200 mpaka 500 mpaka dec mwaka huu.
Eneo la ufugaji ni newala-mtwara
Nawasilisha...
Kitaalamu haishauriwi, ila wafugaji wengi sana wanatumia dawa za binadamu kwa mifugo hasa kuku kutokana na gharama. Mfano dozi ya kuharisha kuku 100 inaweza ikakugharimu takriban 50,000 au zaidi wakati ukitumia dawa za binadamu ikagharimu elfu 10 mpaka 20.Dawa gani za binadamu ulikuwa unawapa na kiwango gani,na za magonjwa yapi huenda ukatusaidia zaidi
Sent from my CPH1823 using JamiiForums mobile app
Mimi naona muarobaini ni best sana kwa magonjwa ya tumbo kwa kukuKitaalamu haishauriwi, ila wafugaji wengi sana wanatumia dawa za binadamu kwa mifugo hasa kuku kutokana na gharama. Mfano dozi ya kuharisha kuku 100 inaweza ikakugharimu takriban 50,000 au zaidi wakati ukitumia dawa za binadamu ikagharimu elfu 10 mpaka 20.
Dawa inategemea na ugonjwa. Ila sikushauri kwan ni hatari kwa afya ya mlaji. Inatengeneza usugu wa dawa kwa atakae tumia kuku aliyelishwa dawa za binadamu.
Badala yake tumia dawa za asili mfano tangawizi, vitunguu swaumu, alovera, muarobaini, mlonge, pilipili n.k
Asante kwa kunielewa.
Zote ni nzuri, inategemea na ipi itafanya vizuri kwa kuku wako ndio uipe kipaumbeleMimi naona muarobaini ni best sana kwa magonjwa ya tumbo kwa kuku
Sent from my CPH1823 using JamiiForums mobile app
Safi sanaKutokana na hali ya mvua kuwa nyingi kupitiliza, leo nimeendeleza banda jipya kwa ajili ya awamu nyingine ya ufugaji ya kuku wa kienyeji.
Mapema mwisho wa mwezi huu nitakua nimeanza kuweka kuku.
Mipango ni kuanza na kuku wadogo mwa mwez mmoja au zaidi wasiopungua 50View attachment 2592206