Naingia mwaka 2023 na Malengo yafuatayo; Tuonane December 28,2023

antanarivo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2018
Posts
450
Reaction score
883
Habari wakuu , kuweka record sawa ni kuwa haya hapa chini ni malengo yangu ya mwaka 2023 ikionyesha MAKADILIO ya kipato , MATUMIZI,na MALENGO yangu dhumuni kuu likiwa kuweka kumbukumbu binafsi na kupata ushauri kwa waliofanikiwa ,siku na tarehe kama ya Leo 2023 nitakuja kutoa updates ya nini nimekifanya na kwa mafanikio gani

Ahsanteni na najitakia heri na utekelezaji mwema[emoji817][emoji419]


NB: Nimeona Uzi wa kutunza Siri na Siri yangu naitunza hapa [emoji23][emoji23] maana najua kupitia baraka zenu zitafanikisha kwa asilimia 101.
 
Kila la kheri mkuu. Maisha bila malengo ni kama chai isiyokuwa na sukari.
 
Mkuu mbona umesahau kuweka gharama za kilimo: pembejeo, umwagiliaji, kukodi shamba, gharama za vibarua, nk???
 

Mavazi 60000/= embu ifafanue vizuri
 
Aisee nakuombea ufanikishe.

Namie Nina lengo la kutoa akaunti yangu ya trading iniongezee digits 3. Yaani Kama Ni mfano Ni $5000 Basi sifuri tatu ziongeke mbele. Tuombeni tufanikishe.
Pia nashiriki USA championship trading contest ya mwaka 2023. Unaweza ukashiriki na wewe pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…