Naingia mwaka 2023 na Malengo yafuatayo; Tuonane December 28,2023

Naingia mwaka 2023 na Malengo yafuatayo; Tuonane December 28,2023

Mpangilio wako nimeupenda ila vipaumbele ni vingi! Kwenye hiyo pikipiki inamaana hauna safari ingine yoyote nje ya kazini?
Yaah kama Ipo means itajilipa, kama ni kwenda shambani basi budget yake Itakuwa kwenye uandaaji wa shamba ,I mean mafuta yataingia kama cost za uandaaji wa Hilo shamba
 
Back
Top Bottom