JimmyKB
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 413
- 564
Sounds goodYaah kama Ipo means itajilipa, kama ni kwenda shambani basi budget yake Itakuwa kwenye uandaaji wa shamba ,I mean mafuta yataingia kama cost za uandaaji wa Hilo shamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sounds goodYaah kama Ipo means itajilipa, kama ni kwenda shambani basi budget yake Itakuwa kwenye uandaaji wa shamba ,I mean mafuta yataingia kama cost za uandaaji wa Hilo shamba
Kama nimemwelewa ni 60,000 kila mwezi kwa ajili ya mavazi hivyo 60,000x12 = 720,000Mtumba wa Karume 😉
Hata budget ya kulima sijaiweka piaSijaona gharama za Arusi kwakuwa umetamka kuoa mwaka huu
Habari wakuu , kuweka record sawa ni kuwa haya hapa chini ni malengo yangu ya mwaka 2023 ikionyesha MAKADILIO ya kipato , MATUMIZI,na MALENGO yangu dhumuni kuu likiwa kuweka kumbukumbu binafsi na kupata ushauri kwa waliofanikiwa ,siku na tarehe kama ya Leo 2023 nitakuja kutoa updates ya nini nimekifanya na kwa mafanikio gani
Ahsanteni na najitakia heri na utekelezaji mwema[emoji817][emoji419]
NB: Nimeona Uzi wa kutunza Siri na Siri yangu naitunza hapa [emoji23][emoji23] maana najua kupitia baraka zenu zitafanikisha kwa asilimia 101.View attachment 2461421View attachment 2461422View attachment 2461423
Hapo kwenye .....andika kuhonga michepuko.Habari wakuu , kuweka record sawa ni kuwa haya hapa chini ni malengo yangu ya mwaka 2023 ikionyesha MAKADILIO ya kipato , MATUMIZI,na MALENGO yangu dhumuni kuu likiwa kuweka kumbukumbu binafsi na kupata ushauri kwa waliofanikiwa ,siku na tarehe kama ya Leo 2023 nitakuja kutoa updates ya nini nimekifanya na kwa mafanikio gani
Ahsanteni na najitakia heri na utekelezaji mwema[emoji817][emoji419]
NB: Nimeona Uzi wa kutunza Siri na Siri yangu naitunza hapa [emoji23][emoji23] maana najua kupitia baraka zenu zitafanikisha kwa asilimia 101.View attachment 2461421View attachment 2461422View attachment 2461423
Hapa hakuna anayemfahamu ili amrogeUmejichawia mwenyewe ... Usiwalaumu wananzengo
Mkuu hela haizalishi hivi humo ndani Kuna mazao ya muda mfupi na yanalimwa misimu tofauti tofauti, mfano nikilima nyanya na tikiti nikija kuvuna hapo heka za tikiti na nyanya zitakuwa zimejikata ,na huenda hela ya mauzo itaingia kwenye kilimo KINGINE, nimefikiria mbali mkuu Wacha nipambane nione nitaishia wapiMTAZAMO WANGU
Mapato kwa mwezi 1240,000
matumizi kwa mwezi 432,000
Pesa inayo baki kwa mwezi 808,000
Hivyo kwamiezi 10×808,000= 8,080,000
Jumla ya Heka zote kwaa jili ya kilimo ni heka 33.5
SWALI
*Makadirio ya heka moja ni Tsh ngapi ?
*Unatumia nguvukazi ipi katika kufanya kilimo chako?
*Tsh 8,808,000 inaweza mudu kugharamikia heka 33.5?
MAONI
Panga upya bajeti yako Punguza baadhi ya mazao.. Mipango sio matumizi kila laheri mkuu! Happy new year!
Huku michepuko ni bure mkuuHapo kwenye .....andika kuhonga michepuko.
Yaani michepuko unawawekea bajeti kabisa? Aisee kwa tabia yako ya uzinzi Hakuna utakachofanikisha.
Umeme, Maji, Michango ya harusi, shida za ghafla wanafamilia, ndugu na jamaa, matibabu nkHabari wakuu , kuweka record sawa ni kuwa haya hapa chini ni malengo yangu ya mwaka 2023 ikionyesha MAKADILIO ya kipato , MATUMIZI,na MALENGO yangu dhumuni kuu likiwa kuweka kumbukumbu binafsi na kupata ushauri kwa waliofanikiwa ,siku na tarehe kama ya Leo 2023 nitakuja kutoa updates ya nini nimekifanya na kwa mafanikio gani
Ahsanteni na najitakia heri na utekelezaji mwema[emoji817][emoji419]
NB: Nimeona Uzi wa kutunza Siri na Siri yangu naitunza hapa [emoji23][emoji23] maana najua kupitia baraka zenu zitafanikisha kwa asilimia 101.View attachment 2461421View attachment 2461422View attachment 2461423
Hii championship ipoje?Aisee nakuombea ufanikishe.
Namie Nina lengo la kutoa akaunti yangu ya trading iniongezee digits 3. Yaani Kama Ni mfano Ni $5000 Basi sifuri tatu ziongeke mbele. Tuombeni tufanikishe.
Pia nashiriki USA championship trading contest ya mwaka 2023. Unaweza ukashiriki na wewe pia
Duu mkuu “The game of speculation is the most uniformly fascinating game in the world. But it is not a game for the stupid, the mentally lazy, the person of inferior emotional balance, or the get-rich-quick adventurer. They will die poor.” By Boy plunger aka Jesse LAURIAN Livingstone Livermore the man who sold America in 1940Hii championship ipoje?
...Aisee nakuombea ufanikishe.