Naingia mwaka 2023 na Malengo yafuatayo; Tuonane December 28,2023

Yaah kama Ipo means itajilipa, kama ni kwenda shambani basi budget yake Itakuwa kwenye uandaaji wa shamba ,I mean mafuta yataingia kama cost za uandaaji wa Hilo shamba
Sounds good
 
MTAZAMO WANGU
Mapato kwa mwezi 1240,000
matumizi kwa mwezi 432,000
Pesa inayo baki kwa mwezi 808,000
Hivyo kwamiezi 10×808,000= 8,080,000
Jumla ya Heka zote kwaa jili ya kilimo ni heka 33.5
SWALI
*Makadirio ya heka moja ni Tsh ngapi ?
*Unatumia nguvukazi ipi katika kufanya kilimo chako?
*Tsh 8,808,000 inaweza mudu kugharamikia heka 33.5?
MAONI
Panga upya bajeti yako Punguza baadhi ya mazao.. Mipango sio matumizi kila laheri mkuu! Happy new year!

 
Hapo kwenye .....andika kuhonga michepuko.

Yaani michepuko unawawekea bajeti kabisa? Aisee kwa tabia yako ya uzinzi Hakuna utakachofanikisha.
 
Mkuu hela haizalishi hivi humo ndani Kuna mazao ya muda mfupi na yanalimwa misimu tofauti tofauti, mfano nikilima nyanya na tikiti nikija kuvuna hapo heka za tikiti na nyanya zitakuwa zimejikata ,na huenda hela ya mauzo itaingia kwenye kilimo KINGINE, nimefikiria mbali mkuu Wacha nipambane nione nitaishia wapi
 
Umeme, Maji, Michango ya harusi, shida za ghafla wanafamilia, ndugu na jamaa, matibabu nk
 
Hii championship ipoje?
 
Hii championship ipoje?
Duu mkuu “The game of speculation is the most uniformly fascinating game in the world. But it is not a game for the stupid, the mentally lazy, the person of inferior emotional balance, or the get-rich-quick adventurer. They will die poor.” By Boy plunger aka Jesse LAURIAN Livingstone Livermore the man who sold America in 1940

Ingekuwa Ni connection ungekuwa umeshajua kuwa utaipata wapi. Am sorry but I have to be brutal truthfulness so that I wake up your mind. I know you won't love this but that's how things are working.
 
...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…