Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Mpaka sasa sijajua hilo gunia ni debe ngapi mweeh😥Dada yangu nipitishie, mm nimeshavuna, bado eneo moja nitaenda May mwishoni, eka 15 za mwanzo nimepatwa gunia 18 nyingine imebaki shambani wataivuna baadae
Walichoniudhi wananishauri niiuze kila gunia 90,000/ na kuna walanguzi kibao wanasarandia
Ila imenikata NI wastani wa gunia moja na nusu kwa eka, pia upepetaji mbaya, wamedondosha Sana Alizeti ambapo huenda nilipoondoka waliirudia
Ukweli ndio huo nimepigwa ngoja nisikie wenzangu km wanapaita guni 18 kwa eka HICHO NDIO NAKATAA
Mayu mbona hujarudi kuwaelewesha hawa watu,Nipo very interested na hii kitu mnayo izungumzia huku na isitoshe mimi ni makazi wa hayo maeneo panaitwa NDAGO
Mayu mbona hujarudi kuwaelewesha hawa watu,Nipo very interested na hii kitu mnayo izungumzia huku na isitoshe mimi ni makazi wa hayo maeneo panaitwa NDAGO
ni dhambi kubwa kuwaingiza wenzako MKENGEWakalime wataelewa tu ukitaka kuujua utamu wa ngoma ingia kati isakate [emoji23]
Changamoto ilikuwa nini mkuuNimejitahid nimenunua gunia 64 za alizeti lakn shambani kwangu heka 2 nimepata roba 5.
Kilimo Uti wa mgongo
Alizeti n debe 8,, ukiwachekea Sana washonaji linapigwa9 ...Ni gunia la debe ngapi plz 6/7/9/8?
Habari mkuu,, vip alizeti kondoa inastawi vizuri ?Mkuu, Alizeti Gunia la Debe Saba Makadirio mazuri ni Lita 20 tu sawa na Dumu moja. maana hapo nimeona unasema itakupa Dum mbili sawa na lita 40 ambacho hicho kitu hakina uhalisia sana kwa sababu nimelima sana Alizeti,Huko jirani na Singida maeneo ya Kondoa pale
Inastawi vizuri sana tu kama Singida au kitetoHabari mkuu,, vip alizeti kondoa inastawi vizuri ?
Mkuu wewe unaishi huko ndago au ni kwenu ila unaishi mjini?Wakalime wataelewa tu ukitaka kuujua utamu wa ngoma ingia kati isakate [emoji23]
Mkuu niwaingize watu mkenge ili nipate nini sasa?ni dhambi kubwa kuwaingiza wenzako MKENGE
toka mwanzo tuliwatahadharisha member kuwa Alizeti inawakata wakulima jamani, kwenye matikiti maji (water lemon) tuliwaambia vivi hivi.
Naishi Ndago na nina ishi mjini pia kwa vipindi tofauti tofauti. Kuhusu kilimo cha alizeti nafahamu nje ndani. Kuhusu watu wa Ndago ni kweli huwa wana fanya ziada kilimo cha alizeti walio wengi na huwa wana tumia aina ya kienyeji ya upandaji (kumimza)Mkuu wewe unaishi huko ndago au ni kwenu ila unaishi mjini?
Asilimia kubwa ndago alizeti wanalima kama shamba la ziada baada ya kumaliza kulima mahindi
Wanapanda kwa kumwaga mbegu(kuminza) halafu ndio wanalima, palizi yenyewe ya juu juu tu, hawapunguzii mimea nk
Kulima hivi ni kilimo cha mafuta ya kula tu
Mkuu mwakani andaa shamba ekari moja kwenye mbuga isio jaa sana maji au kwenye nkulusiNaishi Ndago na nina ishi mjini pia kwa vipindi tofauti tofauti. Kuhusu kilimo cha alizeti nafahamu nje ndani. Kuhusu watu wa Ndago ni kweli huwa wana fanya ziada kilimo cha alizeti walio wengi na huwa wana tumia aina ya kienyeji ya upandaji (kumimza)