Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Kule juu ujanijibu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule juu ujanijibu...
Ephen anaanza kukuchomaMfano🙄
Swali gan tena?Kule juu ujanijibu...
SawaHata lile ni Tunda pia..
Ahahahahah unavomuita ephen unapoa kweli anephen_ kweli?
Ameishia wap na nyoka wake?Pana dada mmoja aliambiwa afuge nyoka biashara ipo China...
Mil 22 kwa mweziOna papai hili
Sikuelewi🤔Ephen anaanza kukuchoma
Papai ni mil 22 faida baada ya miezi 6Siwaelewi
Watu walimtengenezea fursa ya kuuza chakula cha nyoka kwake walipofanikiwa wakamkimbia akawa anatafuta soko nadhani watu wanaohusika na nyoka walienda kuwachukua ilikua Bagamoyo huko...Ameishia wap na nyoka wake?
Hahahahaahah, ila me nauza papaiWatu walimtengenezea fursa ya kuuza chakula cha nyoka kwake walipofanikiwa wakamkimbia akawa anatafuta soko nadhani watu wanaohusika na nyoka walienda kuwachukua ilikua Bagamoyo huko...
Nani?Huyu si ndo anatoaga ushauri nasaha kwa wanandoa?
kaamua kuwa miss/mrs papai tena?
NakaziaLabda lile papai lingine vinginevyo hiki ni kilimo cha pdf, jichanganye ujute.
Mko ma pervertsNakazia
Sawa papai moja Tsh ngapi?Hahahahaahah, ila me nauza papai