Naiomba serikali na ngos zianzishe program kwenye media zote kuwatia aibu wanawake wote waomba hela kwa wanaume hususani mizinga ya kutongozwa.

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Nimeshindwa kuvumilia hili ni janga la taifa wanawake wanaomba hela mnooooo mpaka inatia kinyaa kiukweli naanza kuwachukia mno wanawake hususan mabinti ambao Yani unamtongoza saa 12:00pm ukiambiwa ni saa 12:07 anakuwa hajala 12:15 anatakiwa asuke nywele saa 12:20 mtoto anatakiwa dawa nk .
Hii ni aibu wanawake acheni kutuomba hela mnarudisha nyuma maendeleo ya taifa imagine Kodi hazilipiki ada mashuleni hatulipi kisa nyinyi Yani mwanamke unamtongoza leo unashukuru kakubali unampa 20,000/= kesho Tena ukitaka kunyandua kwasababu kvant yake ni yamoto atataka umpe Tena hela jamani tutasomesha lini sisi wanaume?
Naiomba serikali iingilie Kati Jambo hili wanawake wanatuomba hela mnooo mpaka tunawachukia Sasa tukianza kuwapa majina mabaya msitulaumu.

Mkiti wa wanaume wanaochukia wasichana ombaomba kero Tanzania .

HAMZA PETER MCHUKIAKUHONGA.
 
Mods msifute huu Uzi wanawake wamezidi mnoo mpaka inakera kuomba hela.
 
Kwani wanakulazimisha uwape hizo hela.. kama wanakuomba hela piga chini then tongoza mwingine .. mpaka apatikane asiyeomba hela
 
Mifano dhahiri ninayo hii hapa .

Mwanamke 1. Kaniambia anahitaji Sato nikanunua.
Mwanamke 2 .mtoto anaumwa lengo nimtumie hela ya dawa.
Mwanamke 3. Sina vocha nadaiwa nimekopa 5000 tigo hii namba ni ya rafiki yangu
Mwanamke wa 4. Nadaiwa Kodi babe nije au

Sasa huu now upuuzi gani? And all those circumstances happed in one day of wooing Kila mtu alikuwa na sababu yake ambayo wao hawajuani Ila wote ingenipasa Mimi kutoa hela .
 
Uhongaji uliopitiliza unachangia kudidimiza Maendeleo ya Taifa, Pesa nyingi haziendi kwenye maendeleo binafsi ya kudumu.
 
Nimempiga wote chini nakunywa bongo don mdogomdogo wajinga nyie.
 
Kwani wanakulazimisha uwape hizo hela.. kama wanakuomba hela piga chini then tongoza mwingine .. mpaka apatikane asiyeomba hela
Ratio hii ni 1:90 ukifikia levo hii wilaya nzima hupati Dem utaitwa bahili.
 
Hujui formula wewe.. wanawake wapo kibao wanatafuta wanaume.. inabid ujiweke kwenye formula yao wanayoitaka. Utawakimbia mwenyewe
 
Swali, kwanini wewe uwatongoze??? Yaan wewe unataka mtu umpelekee magonjwa mbalimbali mwisho wa siku aangaike kuyatibu kwa gharama zake.
 
Kutongoza (wooing) ni nature Ila kuomba hela hapana.
Swali, kwanini wewe uwatongoze??? Yaan wewe unataka mtu umpelekee magonjwa mbalimbali mwisho wa siku aangaike kuyatibu kwa gharama zake.
 
Nimeshindwa kuvumilia hili ni janga la taifa wanawake wanaomba hela mnooooo mpaka inatia kinyaa kiukweli naanza kuwachukia mno wanawake hususan mabinti ambao Yani unamtongoza saa 12:00pm ukiambiwa ni saa 12:07 anakuwa hajala 12:15 anatakiwa asuke nywele saa 12:20 mtoto anatakiwa dawa nk .
Hii ni aibu wanawake acheni kutuomba hela mnarudisha nyuma maendeleo ya taifa imagine Kodi hazilipiki ada mashuleni hatulipi kisa nyinyi Yani mwanamke unamtongoza leo unashukuru kakubali unampa 20,000/= kesho Tena ukitaka kunyandua kwasababu kvant yake ni yamoto atataka umpe Tena hela jamani tutasomesha lini sisi wanaume?
Naiomba serikali iingilie Kati Jambo hili wanawake wanatuomba hela mnooo mpaka tunawachukia Sasa tukianza kuwapa majina mabaya msitulaumu.

Mkiti wa wanaume wanaochukia wasichana ombaomba kero Tanzania .

HAMZA PETER MCHUKIAKUHONGA.
Kwa nini usingeanza na watoa huduma wote katika sehemu mbalimbali za idara za serikali na taasisi binafsi? Wasitegemee au kuomba rushwa au hongo ili watekeleze majukumu yao.
Unachoongelea kipo ila hakina uzito na wala hakiathiri taifa kwa ujumla.
 
Mifano dhahiri ninayo hii hapa .

Mwanamke 1. Kaniambia anahitaji Sato nikanunua.
Mwanamke 2 .mtoto anaumwa lengo nimtumie hela ya dawa.
Mwanamke 3. Sina vocha nadaiwa nimekopa 5000 tigo hii namba ni ya rafiki yangu
Mwanamke wa 4. Nadaiwa Kodi babe nije au

Sasa huu now upuuzi gani? And all those circumstances happed in one day of wooing Kila mtu alikuwa na sababu yake ambayo wao hawajuani Ila wote ingenipasa Mimi kutoa hela .
Sa na wewe wanawake wote hao wa Kazi gani?
 
Back
Top Bottom