Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Mimi ni Daktari. Nipo huko unakodai ni peak.Ingawa ni kweli Ajibu ana matatizo yake Ila alicho ongea sahihi kabisa
Ulaya wanaenda ma engineer hata waandishi wa habari..
Skysports Wana Melissa Red katokea South Africa....
Hoja yake ina mashiko wala sio dharau...kama tunataka yeye aende Ulaya Kwa mpira ...Sisi wengine je taaluma zetu zinatupeleka wapi...
Unachopaswa kufahamu ni kuwa, kuna fani ambazo hazina ulazima wa kudhihirika ubora wa fani yako. Mfano Mwl wa Kiswahili, aende wapi kama si kubaki nchini?
Lakini, hasemi kwa nia njema ya kumotivate bali kwa nia ya kukejeli. Unaulizwa swali kiungwana, unajibu kwa kubwabwaja. Ni sahihi?
Ndiyo hiyo 'ego'. Udhaifu wa mwingine usikufanye wewe kujiona kwamba unachokiendea ni sahihi.