Naiona failure ya CHADEMA kwa Mbaali japo ni wabishi

Naiona failure ya CHADEMA kwa Mbaali japo ni wabishi

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Ni siku zaidi ya 20 ambayo Mwenyekiti wa CHADEMA yupo jela bila kuonesha actions za maana

1. Nimeshangaa sana Godbless Lema anamlaumu Bob Wine wa Uganda kutolaumu serikali ya Samia kwa sakata la Mbowe nimejiuliza maswali mengi sana are we serious?

2. Press ya awali ya Mnyika ilinipa picha kwamba hakuna matumaini yeyote juu ya mipango wanayosema

3. Sasa hivi ndani ya Chama wamegawanyika sana!

4. Lissu anogopa Kwenda Tanzania kuhamasisha mabadiliko on ground anaishia kumtuma bwana Godfrey Rwehumbiza wa Bangkok amuombee msamaha kwa Samia na kufutiwa mashtaka Yaan anajinasua mwenyewe tu!! Huyu Rwehumbiza Ana act kama Balozi wa Tanzania nchini Thailand anakaa Soi 7 Sukhumvit road Thonglou. Japo Tanzania tunapata Visa za Thailand kupitia Kenya ila Rwehumbiza ndio anafanya uwakilishi wa mambo kadhaaa

3. Vijana wa CHADEMA hawana kinachoendelea zaidi ya BAWACHA ndio wanafanya kazi kubwa!!! Wao wenyewe wanazungukana! Walikubaliana woote waliokamatwa Mwanza wasikubali dhamana ila John Pambalu baada ya kutishiwa na mtuhumiwa pale Central kwa kutoa uume wake na kumtisha kwamba njoo tulale akapiga kelele asubuhi Anaomba dhamana !

4. LISSU anabeza sana mawazo ya wengine aliona kwamba yeye mawazo yake ndio alpha na Omega Kuna matatizo

Britanicca
 
Hua najiuliza mawazo ya watu wengine inakaaje au unafikiria nini? je Mbowe ameshtakiwa kama Mbowe au ameshtakiwa kama m/kiti wa CHADEMA?

Je serikali inamtendea haki Mbowe au CHADEMA? au Mbowe akiukumiwa kifungo ndiyo CHADEMA imehukumiwa?

Mtoa mada mnawakosea sana waTanzania wasiyo na chama.
 
CHADEMA ife?

Unajuwa Nani ni Chedema ...do you think Mbowe? garasha kweli...
 
Lisu kupitia wapelelezi wake, tayari ashaanza kumjua ni nani aliepanga shambulizi dhidi yake. Kwahiyo tusimlaumu sana kwa kutoshughulikia swala la mwenyekiti. Ni kitendo cha muda tu ataanza kuunguza nyumba na kila mtu atashangaa.

Kifupi Lisu ashaufahamu vizuri ule msemo usemao kikulacho kinguoni mwako. Umaarufu wake ndani ya chama na nje ya chama miaka ya 2016 hadi 2017 ndio iliosababisha jamaa awahi kukihami kiti chake ili asije kunyanganywa au kushindwa vibaya katika uchaguzi mkuu wa chama na mropokaji huyu. RIP Chacha Wangwe, na pole ndugu Lisu.
 
Ni siku zaidi ya 20 ambayo Mwenyekiti wa CHADEMA yupo jela bila kuonesha actions za maana

1. Nimeshangaa sana Godbless Lema anamlaumu Bob wine wa Uganda kutolaumu serikal ya Samia kwa sakata la Mbowe nimejiuliza maswali mengi sana are we serious?...
Punguza mizaha yani Pambalu baada ya kuonyeshwa na kuitwa akalie gomgo ya kati kati ya mapaja KAUMWAGA.
 
Ni siku zaidi ya 20 ambayo Mwenyekiti wa CHADEMA yupo jela bila kuonesha actions za maana

1. Nimeshangaa sana Godbless Lema anamlaumu Bob wine wa Uganda kutolaumu serikal ya Samia kwa sakata la Mbowe nimejiuliza maswali mengi sana are we serious?...
Ungesema tu lengo la post yako ni kumchafua Lissu. Umetumwa na yule Lissu alimuita MJINGA? Maana naskia kajiapiza "kummaliza Lissu" (clue: he won't and can't).
 
Lisu kupitia wapelelezi wake, tayari ashaanza kumjua ni nani aliepanga shambulizi dhidi yake. Kwahiyo tusimlaumu sana kwa kutoshughulikia swala la mwenyekiti. Ni kitendo cha muda tu ataanza kuunguza nyumba na kila mtu atashangaa...
Na alivyo mzee wa ukimwaga mboga namwaga ugali, soon anamwaga ugali, huwa hana staha jamaa
 
Wengi waliosema Chadema itakufa wamekufa , akiwemo jiwe aliyekuwa anakulipa , na ukifanya mchezo tutaweka hadharani akaunti ya NMB uliyokuwa unaingiziwa pesa wewe na mamluki wenzio kabla hujatemwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe dada huwa una mikwara sana!

Hii mikwara yako si uwe unaenda nayo pale Central?
 
Chadema ndiyo ina akili nyembamba. Mwanachama mwenzenu anajaribu kuwasaidia lakini kwa akili zenu nyembamba mnampiga vita. Mwaka huu mtapigana sana nyie wenyewe kwa wenyewe. Twitter Republic nasikia pia mmeshanya ugaidi huko. Kunawaka moto na jamaa yenu yule amewasusia.
Sasa hivi kigogo anawanyambua kama karanga
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu haya maono kuwa cdm inakwenda kufa yako toka enzi za kina Wasira. Hivyo huna mawazo tofauti na hao wengine lakini ikawa tofauti. Endelea kuota kaka.
Nakusalimia mkuu tindo!

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom