Naiona failure ya CHADEMA kwa Mbaali japo ni wabishi

Kuna mtu alisema kufikia 2020 atakuwa ameua upinzani akapora chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu kisha akafa yeye badala ya upinzani. Akafyatua risasi kumuua mpinzani lakini akafa yeye. Mipango ya Mungu si mipango ya binadamu. Hata huyo delila anayemtesa mpinzani kwa kesi za kubambika atapita kama upepo. Mwenye masikio na asikie. Time'll tell!
 
Inapumulia OKSIJENI huko ICU(sadaruki).....

Chadema kwishney.....
 
Chademaa hawajawahi kuwa serious, watu wao walipopoteza ubunge ndio wakaanza visa kwasababu wamekosa "ulaji".

Wanakosa ajenda na mipango ya kimkakati, wakae watambue kuitoa CCM kunahitaji mikakati ya kweli.
Bila ya kura za kwenye mabegi ya polisi CCM ni laini tu
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu hiyo namba 3 hiyo dogo kaona atapigwa pipe bure
 
Kumbe
 
Comred Polepole ana kazi ngumu, kuni mbichi sijui zimemuishia? tunaomba asaidiwe kuchochea maana wahuni bado ni wengi.
 
4. Lissu anogopa Kwenda Tanzania kuhamasisha mabadiliko on ground anaishia kumtuma bwana Godfrey Rwehumbiza
Hivi wewe ushawahi kukoswakoswa hata na manati afu ukarudi mtaa huo huo ?
 
Vipi bado hujaliona anguko?? Waganga wachawi nyie.

Ndio kwanza tunang'ara kitaifa na kimataifa
 
Ndugu britanicca upo? Hizi ramli zako zinakupa majibu gani?

Sasa unaweza tu kubadili uelekeo kwa kuwa unaweza kuona kwa macho yako ni nani anakwenda kufa kati ya lizee CCM lililokwisha jichokea na kijana machachari na mtanashati CHADEMA....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…