Naiona failure ya CHADEMA kwa Mbaali japo ni wabishi

Naiona failure ya CHADEMA kwa Mbaali japo ni wabishi

Swali la msingi,ni nani aliyewaondoa walinzi wa Suma JKT pale area D langoni kuingia makazi ya viongozi ambapo ndipo Lissu aliposhambuliwa?Ukilitafakari hili basi utajua nani alikuwa nyuma ya mchezo!
Pesa haishindwi mbowe anakesi ya kufadhiri ugaidi moja ya ugaidi ni huo kufadhiri walinzi wasiwepo eneo la kazi ili watu wa mbowe wafanye yao wa lissu
 
Ni siku zaidi ya 20 ambayo Mwenyekiti wa CHADEMA yupo jela bila kuonesha actions za maana

1. Nimeshangaa sana Godbless Lema anamlaumu Bob Wine wa Uganda kutolaumu serikali ya Samia kwa sakata la Mbowe nimejiuliza maswali mengi sana are we serious?

2. Press ya awali ya Mnyika ilinipa picha kwamba hakuna matumaini yeyote juu ya mipango wanayosema

3. Sasa hivi ndani ya Chama wamegawanyika sana!

4. Lissu anogopa Kwenda Tanzania kuhamasisha mabadiliko on ground anaishia kumtuma bwana Godfrey Rwehumbiza wa Bangkok amuombee msamaha kwa Samia na kufutiwa mashtaka Yaan anajinasua mwenyewe tu!! Huyu Rwehumbiza Ana act kama Balozi wa Tanzania nchini Thailand anakaa Soi 7 Sukhumvit road Thonglou. Japo Tanzania tunapata Visa za Thailand kupitia Kenya ila Rwehumbiza ndio anafanya uwakilishi wa mambo kadhaaa

3. Vijana wa CHADEMA hawana kinachoendelea zaidi ya BAWACHA ndio wanafanya kazi kubwa!!! Wao wenyewe wanazungukana! Walikubaliana woote waliokamatwa Mwanza wasikubali dhamana ila John Pambalu baada ya kutishiwa na mtuhumiwa pale Central kwa kutoa uume wake na kumtisha kwamba njoo tulale akapiga kelele asubuhi Anaomba dhamana !

4. LISSU anabeza sana mawazo ya wengine aliona kwamba yeye mawazo yake ndio alpha na Omega Kuna matatizo

Britanicca
Kama hufahamu mambo ni bora kukaa kimya!
Kwanza kauli zako tu zinaonyesha wewe si mfuasi wa CHADEMA ila unajaribu kujifanya unaguswa huku ukitoa vijikauli vya kukatisha wengine tamaa!

Mtu yeyote anayejielewa hawezi kuzungumzia kuwahamasisha CHADEMA na suala la Mbowe ilihali suala hilo lipo mahakamani, hapambanaji au CHADEMA hawawezi kushughulikia suala hili kwa kwenda kuvunja gereza aliko Mbowe au kuamrisha mahakama kumfutia kesi, bali kinachofanyika ni kuweka mawakili makini kuhakikisha wanapambana kisheria kuleta ushidi kwa Mbowe na si vinginevyo!
 
Hiki ndio chama kinachokufa? Kinajenga ofisi zake kote nchini kwa nguvu za Wananchi

IMG_20210815_182801.jpg
 
Ni siku zaidi ya 20 ambayo Mwenyekiti wa CHADEMA yupo jela bila kuonesha actions za maana

1. Nimeshangaa sana Godbless Lema anamlaumu Bob Wine wa Uganda kutolaumu serikali ya Samia kwa sakata la Mbowe nimejiuliza maswali mengi sana are we serious?
Mkuu au unazungumzia upande wa ccm kinyume nyume?
 
Ni siku zaidi ya 20 ambayo Mwenyekiti wa CHADEMA yupo jela bila kuonesha actions za maana

1. Nimeshangaa sana Godbless Lema anamlaumu Bob Wine wa Uganda kutolaumu serikali ya Samia kwa sakata la Mbowe nimejiuliza maswali mengi sana are

Britanicca
Tatizo kubwa la chadema wameaminishwa demokrasia ni vyama kupokezana madaraka badala ya vyama kushinda uchaguzi. Vyama vinashindaje uchaguzi? Jibu ni kwa kua na ushawishi. Chadema wakubali wakatae ccm ni chama bado kina ushawishi mkubwa na wananchi bado wana imani nacho.

Chadema waache agenda yao kuu kama kukiondoa ccm madarakani badala yake wawe chama cha upinzani chanya kwa kutoa mawazo mbadala endelevu kama wakati kikiwa na katibu mkuu dr slaa. Mawazo ambayo ccm bila kujali wamekua wanayafanyia kazi.
 
Mimi huwa situkani bali huwa nawasha moto, ww unapanic unatokana unategemea utatoboa kweli?
Nmejifunza hapa jf ukiwa na siasa za misimamo mikali kama alshabab utapigwa ban kila siku

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu anayejinadi mbele za watu kuwa ni jasusi jua ni tapeli. Usibishane nae. Huyo ni mtafuta ugali.
Chahali acha Mambo ya ovyo mi Nitumwe na nani??? We ndo unasema kwa mawazo haya huwezi ng’amua nachosema?? Inamaana mtu akiwa na mawazo mbadala katumwa?
I tell you Muda huu Kama LISSU ndo angakuwa ndani Nina uhakika Mbowe angekuwa kashatimba nchini hata Kama angekuwa na kesi gani??

mi simsemi Lissu tu!! Mbona usemi nilivyomsema Lema?
 
Hiki ndio chama kinachokufa? Kinajenga ofisi zake kote nchini kwa nguvu za Wananchi

View attachment 1896658
Hizo ofisi ilitakiwa ziwe zimejengwa miaka 10 nyuma kipindi hicho mnavuna ruzuku ya kutosha kwa mwezi, Sasa account ipo tupu mnaanza kuwasumbua wananchi na mabakuli, na hiyo michango asilimia kubwa inaliwa na viongozi, asilimia ndogo ndiyo inapelekwa kwenye hizo tofali
 
Organisation ndani ya Chadema imepungua, Mbowe yuko jela, Lema na Lissu wakiwa kama viongozi ndani ya chama nao hawapo nchini, sasa amebaki KM peke yake mzigo wote unamuelemea, ndio maana ameanza kuonekana hatoshi.

L

Not just to regroup.

Start from a scratch in many important aspects.

Chadema hakitakufa lakini kitachelelewa sana kuchukua nafasi yake halali kwenye hii nchi ambayo ni kuongoza upinzani na hatimaye kuchukua dola.
 
Ni siku zaidi ya 20 ambayo Mwenyekiti wa CHADEMA yupo jela bila kuonesha actions za maana

1. Nimeshangaa sana Godbless Lema anamlaumu Bob Wine wa Uganda kutolaumu serikali ya Samia kwa sakata la Mbowe nimejiuliza maswali mengi sana are we serious?

2. Press ya awali ya Mnyika ilinipa picha kwamba hakuna matumaini yeyote juu ya mipango wanayosema

3. Sasa hivi ndani ya Chama wamegawanyika sana!

4. Lissu anogopa Kwenda Tanzania kuhamasisha mabadiliko on ground anaishia kumtuma bwana Godfrey Rwehumbiza wa Bangkok amuombee msamaha kwa Samia na kufutiwa mashtaka Yaan anajinasua mwenyewe tu!! Huyu Rwehumbiza Ana act kama Balozi wa Tanzania nchini Thailand anakaa Soi 7 Sukhumvit road Thonglou. Japo Tanzania tunapata Visa za Thailand kupitia Kenya ila Rwehumbiza ndio anafanya uwakilishi wa mambo kadhaaa

3. Vijana wa CHADEMA hawana kinachoendelea zaidi ya BAWACHA ndio wanafanya kazi kubwa!!! Wao wenyewe wanazungukana! Walikubaliana woote waliokamatwa Mwanza wasikubali dhamana ila John Pambalu baada ya kutishiwa na mtuhumiwa pale Central kwa kutoa uume wake na kumtisha kwamba njoo tulale akapiga kelele asubuhi Anaomba dhamana !

4. LISSU anabeza sana mawazo ya wengine aliona kwamba yeye mawazo yake ndio alpha na Omega Kuna matatizo

Britanicca
Sasa kwa nini mnatumia kodi za watanzania kila siku kupambana na chama ambacho mnajua kiko ICU na wakati wowote kitakufa? Kwanini hizo pesa msizitumie kujenga majengo ya madarasa kule kwenye mikoa ambayo wanasomea chini ya miti

Nukta | Mgogoro wa ardhi unavyosababisha wanafunzi 200 wabanane darasa moja  Mbeya

Nukta | Mgogoro wa ardhi unavyosababisha wanafunzi 200 wabanane darasa moja Mbeya
nukta.co.tz

SHIRIKA LA OCODE LAKABIDHI MADAWATI NA DARASA KWA WANAFUNZI WA SHULE YA  MSINGI GOBA | Full Shangwe Blog

SHIRIKA LA OCODE LAKABIDHI MADAWATI NA DARASA KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI GOBA | Full Shangwe Blog
fullshangweblog.co.tz

Hali tete shule zenye wanafunzi wengi zaidi nchini - Mwananchi
mwananchi.co.tz

Mbunge Chatanda amuomba Mkurugenzi Mji Korogwe kuwaokoa wanafunzi. - JIACHIE
michuzijr.blogspot.com

https://www.google.com/imgres?imgur...2ahUKEwj4rtjWorryAhUF_hoKHXkeBGUQMygEegQIARB8
Uhaba wa madawati wanafunzi wakaa chini - Mwananchi
mwananchi.co.tz

Wanafunzi 229 wanasoma chini ya miti kutokana na uhaba wa Madarasa | MUUNGWANA BLOG
muungwana.co.tz

https://www.google.com/imgres?imgur...hUKEwj4rtjWorryAhUF_hoKHXkeBGUQMygGegUIARCAAQ
Uhaba wa madarasa watesa wanafunzi 2,750 Tarime | MUUNGWANA BLOG
muungwana.co.tz

1629279427226.jpeg

1629279427361.jpeg

1629279427462.jpeg

1629279427562.jpeg

1629279427682.jpeg
 
Swali la msingi,ni nani aliyewaondoa walinzi wa Suma JKT pale area D langoni kuingia makazi ya viongozi ambapo ndipo Lissu aliposhambuliwa?Ukilitafakari hili basi utajua nani alikuwa nyuma ya mchezo!
Sidhani kama ww una upeo wa kulijua hili swala zaidi ya mjeruhiwa mwenyewe. Ukimya wa Lisu kuhusu kesi ya mwenyekiti wake, na pia kuonekana kutojali kinachoendelea sio swala la bahati mbaya. Lisu anayajua vizur yaliotokea kwa Chacha Wangwe, Ben saa8 na baadae yeye mwenyew. So mjiandae siku moja kuyasikia yale msioyapenda wala kuyatarajia kutoka kwa Lisu akimchana live aliepanga shambulizi dhidi yake.
 
Hiki ndio chama kinachokufa? Kinajenga ofisi zake kote nchini kwa nguvu za Wananchi

View attachment 1896658
Naona mmepachika bendera ktk jengo la mtu ambalo halijaisha ili ionekane ni ofisi ya chama. Uzuri wa uongo huwa haufiki mbali. Sasa hivi mtaumbuka na kupoteza hata wale wanachama wadogo ambao bado wanaonekana kuwaamini sasa hivi.
 
Sidhani kama ww una upeo wa kulijua hili swala zaidi ya mjeruhiwa mwenyewe. Ukimya wa Lisu kuhusu kesi ya mwenyekiti wake, na pia kuonekana kutojali kinachoendelea sio swala la bahati mbaya. Lisu anayajua vizur yaliotokea kwa Chacha Wangwe, Ben saa8 na baadae yeye mwenyew. So mjiandae siku moja kuyasikia yale msioyapenda wala kuyatarajia kutoka kwa Lisu akimchana live aliepanga shambulizi dhidi yake.
Unaandika upuuzi usio na kichwa wala miguu!Ni nani aliyeondoa walinzi wanajeshi ambao ni waajiriwa wa serikali pale langoni!
Ben Saanane aliweka hadi namba za simu za walokuwa wanamtisha hapa JF,polisi wala hawana habari!
Shwain!
 
Organisation ndani ya Chadema imepungua, Mbowe yuko jela, Lema na Lissu wakiwa kama viongozi ndani ya chama nao hawapo nchini, sasa amebaki KM peke yake mzigo wote unamuelemea, ndio maana ameanza kuonekana hatoshi.

Lazima itafutwe namna hawa watu waliokimbia nchi warudi, ama sivyo, wajipange upya;

- Lissu adui yake mkubwa alikuwa ni Magufuli, na ndio alisema alikuwa anatoa maelekezo afanyiwe unyama, now Magufuli is gone, bahati mbaya Samia nae haaminiki, ushauri wa wasaidizi wake anauchukua kama ulivyo.

- Lema alikimbia kesi ya kubambikiwa, Samia akasema hataki watu waonewe tena, baada ya muda mfupi tunamuona Mbowe anabambikiwa kesi, hapa napo Samia haaminiki.

Lissu na Lema wanaweza kuendelea kuwepo nje ya nchi kwa muda mrefu zaidi, Chadema lazima wajipange upya kukabiliana na hali hii inayowakuta.

Kikao cha Samia na upinzani (Chadema ikiwepo) kingemaliza hii hali mapema sana, but Mbowe kuwa gerezani maana yake hicho kikao sidhani kama kitakuwepo tena, na yale majibu ya Samia kwenye interview ya BBC ndio yanakatisha tamaa kabisa.

Chadema sasa watafute njia za kujipanga, video conferencing inaweza kutumika, sio kushinda twitter day and night; wajue namna mpya ya kukabiliana na CCM inayobebwa mgongoni na jeshi la polisi ili kuendana na hali ya kisiasa nchini inayowakuta kwa sasa.

Kwenda makanisani na uniform za chama hiyo strategy sijaipenda, nyumba za ibada ziheshimiwe, CCM wakikosea Chadema wasirudie kosa la CCM, watachafuliwa na tope la CCM mwishowe wafanane na CCM halafu wananchi wakose namna ya kuwatofautisha iwe faida kwa CCM, Chadema wanatakiwa kwenda three steps ahead of CCM kama walivyokuwa wakifanya.

I repeat, organisation is needed ndani ya Chadema, they have to re-group to find new ways and means, Chadema haifi, lakini wasipokuwa makini itadumaa.
Kuanzia awamu ya 5, CCM/dola imeshachukua hatua zote kuhakikisha CHADEMA hawatafanya kazi tena kama chama cha siasa. Kiuhalisia, CHADEMA inachukuliwa kama kikundi cha ugaidi. Ajenda kuu ya TISS, polisi, n.k. ni kufuatilia nyendo zote za viongozi na makada muhimu wa CHADEMA na kuwavurugia iwe kisheria au hata nje ya sheria. Wanaoweza kununuliwa wanachomolewa. Wanaoweza kupotezwa (neutralised) wanapotezwa.

Leo hii mtu “cool” kama Mbowe anafunguliwa kesi ya ugaidi? Tena enzi za SSH? Halafu bado wapo wanaofikiri uimara wa CHADEMA utategemea kuja na “mikakati bora” ya kuendesha chama! Kwa kifupi, hakuna mkakati wa kioganaizesheni, kisiasa, kiuchumi, n.k. unaoweza kuisadia CHADEMA kuimarika zaidi ya ilipofikia. Ukisoma comments za wapambe wa CCM/serikali hapa JF ndipo utaliona jibu sahihi.

Wanawacheka CHADEMA kwa kutoitikia wito wa Lissu wa kuandamana au wito wa kuendelea na mikutano ya katiba licha ya polisi kuzuia. Wanawacheka kwa “kutolianzisha” ili kumtoa mwenyekiti wao jela badala ya kulialia tu kwenye mitandao.

Nionavyo, ni mpaka siku ajenda/hoja za CHADEMA zitakapoeleweka kwa wananchi wengi hadi kuamua “kulianzisha kiroho mbaya” ndipo CCM/dola itakapolazimika kuacha ujinga na kustaarabika. Hizi mada za mikakati ya CHADEMA zinaanzishwa na wanapropaganda wa CCM/dola ili kukebehi na kubeza chama hicho na kuwachanganya wanachama na mashabiki wake.
 
Tena hayo mawazo ya CDM inaenda kufa na kusambaratika alikuwa nayo hata mwendazake cha ajabu yeye kafa na kusambaratika CDM bado ipo.
Mleta mada angalia nawe usije kufa na kusambaratika dushe au mbususu yako ukaiacha CDM na watu wake.
Hayo mawazo yako sio ya kwanza kusomwa humu jukwaani.
Wewe mkuu unaleta mzaha. Tunajua mwendazake alikufa, lakini, kusambaratika? 🤔😳
 
Back
Top Bottom