instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Ukisikiliza hotuba za Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan, unaona ni hotuba zilizobeba uzalendo, hekima, unyenyekevu na busara ya Hali ya juu sana.
Nimekuwa nikifatilia hotuba za Marais wa bara la Africa unaona kabisa wanakosa hekima, unaona kabisa hotuba zao zimejaa kubomoa hata jumuia zetu, lakini hotuba za Mh Rais Samia zimekuwa focused na Tanzania yetu, ni hotuba za kujenga, kuimarisha na kumojaisha.
Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan anapoongea unaona kabisa presidential materiality ndani yake, anaonyesha ulezi wa Taifa kwa kiwango kikubwa, hata citations zake ni zile za kujenga umoja na utaifa wetu, anachambua unaona kabisa Yes!
Hongera sana Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan, Mimi huwa najifunza kwako hata katika majukumu yangu ya Kila siku.
UBARIKIWE SANA MH. RAIS