Naiona posho kiduchu mafunzo ya makarani wa Sensa 2022 (Tsh 10,000-20,000) kwa kisingizio cha Uzalendo, na si 60,000 kama wanavyotegemea wengi

Una kipele kinakuwasha wewe, unahitaji kukunwa vizuri.
Kwa ukimwi alowaachia yule bwana siwezi hitaji hitaji mkuno toka kwako. Vipi semina ya sensa inaendeleaje? Kama nakuona unavyogombania ubwabwa maana nasikia upawa ni mmoja tu.
 
Una kipele kama cha Irene
 
Una kipele kama cha Irene
Ooh there you are... niliwaambia UVCCM nje ya mstari wa zinaa na udokozi hamuwezi ishi kama vile samaki nje ya maji. Mko watu wa hovyo sana kama yule bwana enu alowaachia UKIMWI.
 
Back
Top Bottom