Naiona Simba ikiangusha point nyingine dhidi ya Coastal hapo kesho

Naiona Simba ikiangusha point nyingine dhidi ya Coastal hapo kesho

Kwa moto ambao Azam walipelekewa na Coastal Union, Simba akicheza kifadha kama anavyochezaga naona akiangusha alama nyingine hapo kesho.

Na hii ndio itakuwa rasmi "BYE BYE BABA JANE" katika mbio za ubingwa
Coast haijawahi sumbua Simba katika hatua kama hizi. Coast ni daraja la Simba wakiwa latika wakati mgumu. Saidoo kama alitumia daraja hili kumfikia Mayeye. Wananchi msifikirie hii kutokea. Hata hivyo gape ya 7 points siyo dogo kwa form wenyenayo Yanga kuelekea ubingwa.
 
Back
Top Bottom