Mukifungwa hatutaacha kushangilia, maana ni furaha kwetu kuona mbumbumbu mukiteseka.Ndio shida ilipo, ila tukifungwa mnaanza mada
Tawi lenu ni lipiMukifungwa hatutaacha kushangilia, maana ni furaha kwetu kuona mbumbumbu mukiteseka.
Lakini hilo halizui ukwel kua Costerl ni tawi lenu, hilo hata shetani analijua.
Wewe timu gani?Tulia wewe...
Coast Union ni tawi letu, tunaenda jiokotea points 3 vizuri kabisa...
Coast haijawahi sumbua Simba katika hatua kama hizi. Coast ni daraja la Simba wakiwa latika wakati mgumu. Saidoo kama alitumia daraja hili kumfikia Mayeye. Wananchi msifikirie hii kutokea. Hata hivyo gape ya 7 points siyo dogo kwa form wenyenayo Yanga kuelekea ubingwa.Kwa moto ambao Azam walipelekewa na Coastal Union, Simba akicheza kifadha kama anavyochezaga naona akiangusha alama nyingine hapo kesho.
Na hii ndio itakuwa rasmi "BYE BYE BABA JANE" katika mbio za ubingwa
Wewe timu gani?
Haijalishi lile ni tawi letuKumbuka coast yuko nafasi ya nne, nae anafukuzia kucheza kimataifa msimu ujao