GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na sikushangaa wala sijashangaa sana kwani ndiyo maana hata Siku Moja kabla ya Kuapishwa Kwake Rais Mteule wa Kenya Dkt. William Ruto alitumia muda mwingi kufanya Mazungumzo na Rais wa Rwanda 'Genius' Paul Kagame tofauti na wengine ambao aliishia Kuwasalimia tu.
Nimeweza kufuatilia Hotuba Kabambe aliyoitoa Juzi Rais Mteule wa Kenya Ruto na kugundua kuwa pamoja na kwamba ni Mkenya ila ana Vimelea vyote vya Kiutendaji alivyonavyo Rais wa Rwanda Paul Kagame na namtabiria anaenda kufanya makubwa ya Kimaendeleo kwa Kenya na Wakenya kama alivyofanya Rais Kagame kwa Wanyarwanda na Rwanda.
Huwezi kuwa na IQ Kubwa kama ya Rais Kagame halafu ukaishia tu Kuwalundikia Wananchi wako Mikodi isiyo na idadi ili Kuwakomoa wakati nchi ina Rasilimali za Kutosha ambazo kama zingetumika vyema basi hata Mfumuko wa Bei usingekuwa mkubwa, Ajira zingeongezeka na tungepumzika kwenda Kuwapigia Magoti Wazungu huku tukiwalamba Miguu.
Hongera mno Rais Mteule wa Kenya Ruto kwa kumuona Rais Kagame wa Rwanda ndiyo mfano wako na Dira yako ya Kuiongoza Kimaendeleo Kenya yako na isichelewe kama Taifa Moja jirani ambalo tokea Uhuru lipo lipo tu mpaka hii leo badala ya Kuhangaika na Maendeleo wanahangaika na Vibaka vya Mitaani vinavyofanana na Panya au Sungura Kiujanja.