Usipanic mkuu, jamaa yupo sawa kwa mara nyingine tena mmebomoa timu yooote na kuleta wengi wapya., Hamboreshi timu ila mnaanzisha timu mpya.Kama kweli wewe ni shabiki wa Yanga, basi utakua umetudhalilisha sana mashabiki wenzako! Kwa huu mtazamo wako, ulistahili kabisa kuwa shabiki wa mbumbumbu fc!...
Timu haijabomoka mzee!! Ukimuondoa Tuisila Kisinda, hakuna mchezaji mwingine ambaye alikuwa ni muhimu kwenye timu kwa 100%!! Hivyo kiufundi, timu iko imara sana! Maana wachezaji waliosajiliwa, kwa mtazamo wangu ni bora zaidi ya wale waliopewa mkono wa kwa heri.Usipanic mkuu, jamaa yupo sawa kwa mara nyingine tena mmebomoa timu yooote na kuleta wengi wapya., Hamboreshi timu ila mnaanzisha timu mpya. Kwahesabu za kawaida tuu ilibidi muwaache wachezaji wazoeane bahati mbaya hawajazoeana mnawekeza kwenye mwananchi week wakati rever wanawapumilia kisogoni, Kazi mnayo mbona
Wewe kweli ni mwananchi mwenzetu. Sio huyo mwanzisha uzi anaandika kama mbumbumbu fcKama kweli wewe ni shabiki wa Yanga, basi utakua umetudhalilisha sana mashabiki wenzako! Kwa huu mtazamo wako, ulistahili kabisa kuwa shabiki wa mbumbumbu fc!...
Sasa mzee mechi ya kirafiki si mpaka mwalimu apate kikosi chake cha kwanza. Timu bado iko kambini, na muda bado unaruhusu kucheza mechi za kirafiki hata mbili huko huko Morocco.Naona mnamshambulia sana mleta mada lakini alichokiongea kinaweza kutokea kwa mashabiki wa Yanga. Yanga inapaswa kuwekeza akili kwenye mechi dhidi ya Rivers Utd lakini mpaka sasa hawajacheza mchezo wowote ule wa kirafiki ili kuona palipo na mapungufu...
Naomba usiku na mchana iwe hivyo.Kabla ya TPL kuanza Yanga haitakuwa mshiriki wa CAFCL
Kuna kitu kinaitwa muda. Muda huwa hausubiri mtu hata siku moja, kama mpaka leo tarehe 22 bado mwalimu hana kikosi wakati zimebaki takribani wiki tatu tu kucheza first leg ya klabu bingwa. Ili kuendana na muda ilipaswa acheze mechi hata nne ya kirafiki ili kujiweka sawa.Sasa mzee mechi ya kirafiki si mpaka mwalimu apate kikosi chake cha kwanza. Timu bado iko kambini, na muda bado unaruhusu kucheza mechi za kirafiki hata mbili huko huko Morocco...
kwa ulicho ongea ni sahihi kabisa,lakini hiyo ni angalizo kwa benchi la ufundi pamoja na wachezaji wasiifikirie sana mwananchi day...na badala yake wajiandae na hiyo mechi ili tuwapige hata goli 7 kwa mkapaKama kweli wewe ni shabiki wa Yanga, basi utakua umetudhalilisha sana mashabiki wenzako! Kwa huu mtazamo wako, ulistahili kabisa kuwa shabiki wa mbumbumbu fc!..
itapendeza sana...mikia watanunaYanga ya msimu huu ni wazi inatembelea nyota ya AS Vita, kitendo cha kusajili nyota wengi wapya wenye uwezo mzuri. Naitabiria kuwa itafika Groups stage.
basi wewe utakuwa takoPunguza mihemm,ko wewe kalio
mkundugu yangu naona wewe ndoo upo kimbumbumbu kwa kutopendaiushauri wa kuijenga timu yetu... Wewe kweli ni mwananchi mwenzetu. Sio huyo mwanzisha uzi anaandika kama mbumbumbu fc
Wewe ni kiligibasi wewe utakuwa tako
kanye ulale wewe unatujuaje ikiwa ww mwenyewe hujijuiAah Wapi..! Lawama atapewa Karia na mashabiki Wataridhika..! Utopolo nyie tunawajua
Mbona ueleweki!!!!Chonde chonde viongozi wangu hasa GSM itilieni mkazo mechi hii na msipoanglia kwa umakini inaweza ikawa chanzo cha nyie kuondoka Yanga.
Atleast yanga hiii inatakiwa kufika group stage caf champions leage.
Alokufundisha uchawi nafikiri Ni Bibi yako, ShwainKabla ya TPL kuanza Yanga haitakuwa mshiriki wa CAFCL
Ha ha chuki zitawauawe ni mjinga sana na kama siyo mjinga basi wewe nimchawi....hapa sijaliizungumzia li mikia....aka mbumbumbu
Unadhani group stage matako. Wewe hata round ya 2 hufiki mjinga wewe utabaki kukenua tuwe ni mjinga sana na kama siyo mjinga basi wewe nimchawi....hapa sijaliizungumzia li mikia....aka mbumbumbu
sawa mbumbumbu umeelewekaUnadhani group stage matako. Wewe hata round ya 2 hufiki mjinga wewe utabaki kukenua tu