Naiona Yanga yangu ikibomoka vipande vipande baada ya mechi na Rivers Utd

Naiona Yanga yangu ikibomoka vipande vipande baada ya mechi na Rivers Utd

Umesahau kuwa TFF ndiyo inaionea Yanga?
Unadhani kuna mtu atatolewa pale?Wa kulaumu ni TFF bodi ya ligi na waamuzi waliohongwa na Mo
Chonde chonde viongozi wangu hasa GSM itilieni mkazo mechi hii na msipoanglia kwa umakini inaweza ikawa chanzo cha nyie kuondoka Yanga.

Atleast yanga hiii inatakiwa kufika group stage caf champions leage.
 
Unasema Mpira una matokeo matatu hapohapo unasema yanga hii itapita mpaka makundi kwa kishindo.
 
mikia ni mkia tu siku zote huwezi fananisha na wakimataifa yanga
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Screenshot_20210824-120413_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20210824-120207_Samsung Internet.jpg
 
Tuna hali ngumu kutokana na ratiba ilivyo, aina ya timu yetu na maandalizi lakini hatutabomoka vipande vipande.
 
Back
Top Bottom