Gable Nehemiah
Member
- Aug 13, 2021
- 15
- 6
usitutishee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chonde chonde viongozi wangu hasa GSM itilieni mkazo mechi hii na msipoanglia kwa umakini inaweza ikawa chanzo cha nyie kuondoka Yanga.
Atleast yanga hiii inatakiwa kufika group stage caf champions leage.
Hadi zile mllizopigwa moroko ni TffUmesahau kuwa TFF ndiyo inaionea Yanga?
Unadhani kuna mtu atatolewa pale?Wa kulaumu ni TFF bodi ya ligi na waamuzi waliohongwa na Mo
usichoelewa hapo ni nini?Unasema Mpira una matokeo matatu hapohapo unasema yanga hii itapita mpaka makundi kwa kishindo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mikia ni mkia tu siku zote huwezi fananisha na wakimataifa yanga
inatosha usimuue sana
Sema tunaishi nao tuu
umejibu kishabikiTuna hali ngumu kutokana na ratiba ilivyo, aina ya timu yetu na maandalizi lakini hatutabomoka vipande vipande.
Asante studioKabla ya TPL kuanza Yanga haitakuwa mshiriki wa CAFCL
He huyu huyu alietafuta hela zake mwenyewe na sio yule mwenzie wa mapene ya kurithi tuwe makini nae tena 🤔Gsm tuwe makini nao