Naipa nafasi England kushinda Euro2020 dhidi ya Italia

Naipa nafasi England kushinda Euro2020 dhidi ya Italia

Italy ndio imekuwa timu bora kwenye haya mashindano, imekamilika kuanzia kipa, defenders, midfilders, mpaka strikers, wana pumzi wanaweza kwenda mpaka dakika 120 bila tatizo, na zaidi wana wapiga penalty wazuri, hili wamelithibitisha kwa kuvitoa vigogo walivyo kutana navyo.

Hao Waingereza waombe Mungu tu bahati iwe upande wao kama ilivyowatokea kwa kucheza na Ukraine, na Denmark baada ya vigogo kama France kutolewa.
 
Wino ni kitu khatari sana kwa heshma na taadhima wale wote walio comments penye uzi huu waje washuhudie walicho kiandika
 
Ila italy wajameni wana watu wenye mioyo migumu aisee...kombe la dunia huko Qatar wanaweza kutoa matumaini...
 
Back
Top Bottom