Naipata maumivu nikikojoa siku chache baada ya kufanya mapenzi. Huu utakuwa ni ugonjwa gani?

Naipata maumivu nikikojoa siku chache baada ya kufanya mapenzi. Huu utakuwa ni ugonjwa gani?

Mwezi umepita nililala na mwanamke bila Kinga, mpaka leo nikikojoa panauma.

Je, inaweza kua UGONJWA gani?
Tusha jadili Sana hizi mada humu na kutoa muongozo.

Embu fanya ku search Uzi humu pia hata uki scroll kwa Chini utaona nyuzi zenye shida yako 😊 fanya kujisomea chukua MAARIFA mkuu.

Nakusalimia Sana. Pole kwa tatizo lako pia.

Wasalaam.
 
Back
Top Bottom