Naipata maumivu nikikojoa siku chache baada ya kufanya mapenzi. Huu utakuwa ni ugonjwa gani?

Naipata maumivu nikikojoa siku chache baada ya kufanya mapenzi. Huu utakuwa ni ugonjwa gani?

Ilikua mwezi na masiku ni kabla Trump hajatoa misaada
Hata hivyo notice ya Trump ni ya siku 90 tu muda ule ule wa miezi mitatu ya kurudia kupima HIV,.Nenda hospitali upate vipimo sahihi vya magonjwa ya ngono.usione aibu ili uweze kudhibiti tatizo lako liliosababishwa na ngono ikiwa bado mapema.Inaweza kuwa ni UTI
au KASWENDE .Ila kwa hali utayoikuta pata matibabu haraka halafu achana na hiyo tabia inaweza kukuangamiza.
 
Back
Top Bottom