Naipata maumivu nikikojoa siku chache baada ya kufanya mapenzi. Huu utakuwa ni ugonjwa gani?

Naipata maumivu nikikojoa siku chache baada ya kufanya mapenzi. Huu utakuwa ni ugonjwa gani?

Mwezi umepita nililala na mwanamke bila Kinga, mpaka leo nikikojoa panauma.

Je, inaweza kua UGONJWA gani?
Covid 19 hiyo
Wahi kizuizini ilinusiambukize wengine
Mwezi?
Hauko serious na afya yako wewe
 
Hahahahahhaa pole sana sawa sikilizia....Azuma inasaidia pia
Sawa bro ila nimeambiwa ndani ya hizi siku ninazokunywa dawa nisishiriki tendo hapo ndio inanifosi nijizuie kuwaza hayo mambo
 
Covid 19 hiyo
Wahi kizuizini ilinusiambukize wengine
Mwezi?
Hauko serious na afya yako wewe
Ndio mwezi nilidhani itaondoka yenyewe, covid tangu lini ikashambulia kwenye AK47 tu? Bila homa wala nini
 
Hapo una wasiwasi na kitu gani labda au yenyewe kabisa ile nyekundu
Nyekundu kivipi? Ni maumivu yanakua makali mda wa kukojoa, ila nilipiga show kwa malaya kama mara mbili sikusikia maumivu wakati wa kumwaga
 
Wengine wanasema gonorrhea ninywe azuma
Kuna watu hamuogopi magonjwa?. Usijaribu kujitibu bila kupima. Nenda hospital usiogope tafadhali. Nenda hospital nzuri. Watakupima damu na mkojo haizidi elfu 10.

Uende hospital ksbb unaweza ukawa na ugonjwa zaidi ya huo. Na tiba yake inaweza ikawa ni moja.
 
Sawa bro nashukuru kwa ushauri, sikwenda hospitali nilipitia duka la dawa nikapewa dawa "nitrofuration" ni vidonge vya njano vidogovidogo
 
Wazee kwenda hospitali sio dhambi,Acheni kujichukia. Nenda hata kituo cha afya kilichopo mbali zaidi na nyumbani kama unaona itakuletea shida pale karibu na nyumbani, ila usitafute msaada kiselasela hivi.

Haiko sawa mkuu
 
Back
Top Bottom