Naipata maumivu nikikojoa siku chache baada ya kufanya mapenzi. Huu utakuwa ni ugonjwa gani?

Naipata maumivu nikikojoa siku chache baada ya kufanya mapenzi. Huu utakuwa ni ugonjwa gani?

Wengine wanasema gonorrhea ninywe azuma
Unashangaza sana! Umeuliza huku JF. Bado unauliza huko uliko kuhusu issue hii hii. Umri ulio nao ni wazi Una taarifa na tatizo gani ulilonalo. Huna sababu ya kujitangaza kwa kiasi hicho. Nenda katibiwe ukiongozana na huyo mwanamke uliyelala naye siku hiyo.
 
Unashangaza sana! Umeuliza huku JF. Bado unauliza huko uliko kuhusu issue hii hii. Umri ulio nao ni wazi Una taarifa ni tatizo gani ulilonalo. Huna sababu ya kujitangaza kwa kiasi hicho. Nenda katibiwe ukiongozana na huyo mwanamke uliyelala naye siku hiyo.
Niongozane na malaya?? Nimekuja huku kupewa ushauri kama huu unaonipa
 
Back
Top Bottom