Naipata maumivu nikikojoa siku chache baada ya kufanya mapenzi. Huu utakuwa ni ugonjwa gani?

Naipata maumivu nikikojoa siku chache baada ya kufanya mapenzi. Huu utakuwa ni ugonjwa gani?

Pole sana.

Usitumie dawa mpaka uonane na daktari, nenda hospitalini ukaonane na daktari utapatiwa matibabu sahihi.

Kila la kheri.
Ahsante sana kesho nitaenda hospitalini maana tatizo linazidi
 
Mtafute Dkt wa mifugo akuchome sindano ya Ng’ombe utapona, Kumbuka pia Trump agenda yake sio nzuri punguza ngono zembe.
 
Back
Top Bottom