Dr PL
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 327
- 537
Mwezi umepita nililala na mwanamke bila Kinga, mpaka leo nikikojoa panauma.
Je, inaweza kua UGONJWA gani?
Pole sana.
Kama ulilala na mwanamke bila ya kinga basi huenda umeambukizwa magonjwa ya zinaa.
Kwa hiyo ni muhimu ukafika kwa daktari akufanyie uchunguzi na vipimo hatimaye upatiwe matibabu sahihi.
Pia kama utaweza kumshauri naye (huyo mwanamke) akaonane na daktari itakuwa vyema sana.
Kila la kheri.