Naipata maumivu nikikojoa siku chache baada ya kufanya mapenzi. Huu utakuwa ni ugonjwa gani?

Mwezi umepita nililala na mwanamke bila Kinga, mpaka leo nikikojoa panauma.

Je, inaweza kua UGONJWA gani?

Pole sana.

Kama ulilala na mwanamke bila ya kinga basi huenda umeambukizwa magonjwa ya zinaa.

Kwa hiyo ni muhimu ukafika kwa daktari akufanyie uchunguzi na vipimo hatimaye upatiwe matibabu sahihi.
Pia kama utaweza kumshauri naye (huyo mwanamke) akaonane na daktari itakuwa vyema sana.

Kila la kheri.
 
Kumbe ulimgonga malay kavu daah kweli ulijirisk🙂
 
Pole sana.

Kama ulilala na mwanamke bila ya kinga basi huenda umeambukizwa magonjwa ya zinaa.

Kwa hiyo ni muhimu ukafika kwa daktari akufanyie uchunguzi na vipimo hatimaye upatiwe matibabu sahihi.
Pia kama utaweza kumshauri naye (huyo mwanamke) akaonane na daktari itakuwa vyema sana.

Kila la kheri.
Bro nina mwezi sasa panauma na dawa sijanywa
 
Back
Top Bottom