Naipenda sana Yanga, lakini South Mhm!!

Ila Yanga mjipange msichukulie poapoa wale watu. Niliona gemu Yao hapa Bongo wako vizuri
Hapa bongo ndio tulichukulia poa ila kwao tutakuwa mahiri zaidi si unaona benchi na wachezaji hawakufurahia namna tumecheza
 
Tumeshawazoea. Sasa hivi mnajifanya kutoa tahadhari (hata kwa Rivers United mlisema hivi hivi)!

Halafu Yanga wakishinda, mnabadikisha tena kiswahili kwa kusema walicheza na timu dhaifu, na inayotaka kushuka daraja!
Ni kweli timu za msimu huu kwenye confederation ni dhaifu
 
Mungu ibariki Yanga…!!

Kila la kheri kwa Yanga…!!!

Naamini TUTASHINDA NA TUTAINGIA FAINALI…!!

Hakuna linaloshindikana..!! Kama Yanga walikuwa bora hapa Tanzania WAKASHINDA, na Marumo wakawa DHAIFU, basi na UDHAIFU WAO HUO UENDELEE hata huko kwao…!!!
 
Wale jamaa wanajua mpira. Yaani Yanga pamoja na kushinda goli mbili lakini walizidiwa possession. Na hii ni kwa mara ya kwanza kwa Yanga kuzidiwa kwa possession kwenye mechi za kimataifa.

South Africa hakuna usalama kwa kweli. Yanga wanatakiwa wacheze kwa nidhamu ya hali ya juu.
 
Mpira ni mbinu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…