Naipenda sana Yanga!

Naipenda sana Yanga!

Huo ndiyo ukweli, yaani nikisema upenzi wa soka bila kutaja yanga sioni maana ya soka.

Yanga ina mipango ya muda mrefu na ya mfupi, ina viongozi wenye shule na IQ kubwa tofauti na 7up fc, hukubali makosa na kujirekebisha, siyo wa binafsi, wanajua kulea wachezaji, wa najua mashabiki wanataka nn.

Kuniambia nihame yanga nikama kunitaka nihame kabila langu.

Ukitaka raha njoo yanga, ukitaka mume muelewa olewa na mpenzi wa yanga , ukitaka mke mzuri, mwenye sifa za wife material oa shabiki wa kike wa yanga.

Mtaa wa pili utakutana na waimba taarabu , wacheza vigodoro na wanaume suruali. Njoo Yanga upate raha.
Huyo mume wa bi hindu au mke wa manara sijui wana hali gani!!
 
Yanga siku hizi inatukera sana mashabiki wake

Kwanza kitendo chao cha kumfukuza kazi Hans Van Pluijm na kumleta huyo minjino kilitukera sana mashabiki

Sidhani Yanga chini ya huyu Lwandamina kama itakuwa na makali yake kama kipindi kile cha Hans.
Wee jamaa ni mtu wa soka kweli kweli..

YANGA hawakuwa na sababu ya kumuondoa Hans ili hali alikuwa na timu nzuri sana ambayo alienda nayo vizuri...mpaka wana mtoa bado ali iyacha timu kwenye mazingira mazuri sana...

kutoa Hans ni swala la kishabiki tu na tamaa za kutaka kufika sehemu flan flan hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa upande wa masilahi na mazingira mazuri ya kazi Yanga tupo vizuri sana sema kinachotukwamisha ni hilo suala la tamaa.

Viongozi inabidi wabadilike bila hivyo msimu ujao ushindi tutausikia kwenye bomba tu.

Ww hukushangaa tumefunga hata na mbao fc mechi mbili mfululizo.

Na hata ubingwa wetu ilikuwa bado kidogo tu tusipate.

Huyo lwandamina mechi nyingi ameshinda kimazabe mazabe.

Ila kipindi cha Hans mtu akinusulika nusulika analambwa zake goli tatu anatulia zake pembeni,na hata idadi za mechi alizofungwa lwandamina zinahesabika ni chache sana yaani.
Hujui mpira wewe. Ama ni shabiki wa msimu, ama ni 7G, period. Maneno ya kwenye kanga, shombo tupu.
 
Wee jamaa ni mtu wa soka kweli kweli..

YANGA hawakuwa na sababu ya kumuondoa Hans ili hali alikuwa na timu nzuri sana ambayo alienda nayo vizuri...mpaka wana mtoa bado ali iyacha timu kwenye mazingira mazuri sana...

kutoa Hans ni swala la kishabiki tu na tamaa za kutaka kufika sehemu flan flan hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ndio umeongea nini?

Embu pitia vizuri mabandiko yangu halafu ulinganishe na hicho ulichokiandika.
 
[emoji23] [emoji23]
Mkuu asante Nina bajeti ya lunch taysri
Nimesikia umesema WIFE MATERIAL anapatikana huko, kwakweli na mimi nilikuwa natafuta sana huyo wife wa hivyo......ni matumaini yangu nimekupata ingawa mimi ni wa 7up kama ulivyotuita.
 
Nimesikia umesema WIFE MATERIAL anapatikana huko, kwakweli na mimi nilikuwa natafuta sana huyo wife wa hivyo......ni matumaini yangu nimekupata ingawa mimi ni wa 7up kama ulivyotuita.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbumbumbu fc! Wa nini? we nenda kwa 7up wenzio huko
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbumbumbu fc! Wa nini? we nenda kwa 7up wenzio huko
😀😀😀😀😀
Mbona Ajibu kawajibu......basi nakusajili kwa mkopo...😵
 
Ngoja nikuweke katika orodha ya watu wangu wa muhimu, na kama Avartar yako inaendana na hali halisi hata kwa asilimia 70 basi weka namba ya MPESA nikutumie lunch ya chakula cha mchana
Umenifurahisha hapo kwenye lunch ya chakula cha mchana..........
 
Yanga siku hizi inatukera sana mashabiki wake

Kwanza kitendo chao cha kumfukuza kazi Hans Van Pluijm na kumleta huyo minjino kilitukera sana mashabiki

Sidhani Yanga chini ya huyu Lwandamina kama itakuwa na makali yake kama kipindi kile cha Hans.
Uongozi unahuckaje na hayo maumbile ya mdomoni mwa huyo kocha?Nahisi kama unahoji uwezo wa Aliyemuumba! Na maumbile hayo ya kocha yanahusianaje na uwezo wake? Nahisi kama unahoji jambo nje ya muktadha wake!
 
Nitajie mchezaji aliyejiunga timu kwenda kutoa sadaka tu, kwa maneno mengine aliyekataa mshahara au angalau kukubali kulipwa kasoro ya maslahi yake ya misimu iliyotangulia.
Mkuu huna haja ya kutokwa mapovu rudi kwenye mada
 
Back
Top Bottom