Ni CHADEMA pekee ndicho chama ambacho hadi sasa kwa miaka mingi hakijawahi kuwa ana adui wa kudumu; leo wapo na Dr. Slaa zaidi ya unavyoweza kudhania.
Wamekuwa wakipigania haki bila kujali itikadi; wamewapigania akina Nape na Kinana wakati wa Magu. Hizi solidarity uwezi kuzipata CCM. Kinachoendelea CCM ni kiu ya madaraka tu; ukikwama kama mwana CCM wanachoangalia nani atakuwa mrithi wako......
Taifa linalojengwa kwenye imani ya Chadema ya kutokuwa na adui wala rafiki wa kudumu ni taifa la haki......