Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Nina sababu nyingi za kuipenda urusi sana tena sana. Hizi ni baadhi.
1. Urusi alisaidia sana Kwenye ukombozi wa bara la afrika wakati tukipigania uhuru. Wapiganaji wengi wa kuikomboa afrika walifundishwa na warusi.
2. Wakati mrusi anaisaidia afrika kujikomboa mmarekani alikumbatiana na watesi wa afrika.
3. Mmarekani alimuuwa Patrice Emir Lumumba rais wa kwanza mzalendo wa zaire. Mrusi akamheshimu Lumumba kwa kuanzisha chuo kikuu kikubwa sana kule urusi kilichoitwa Patrick lumumba university.
4. Mmarekani haaminiki anaweza kukusaliti muda wowote akiona opponent wako ana maslahi naye zaidi mrusi hayuko hivyo. Mfano hapa east africa ikitokea tukazinguana na kenya mmarekani ata side na kenya mrusi hana hulka hiyo atasuluhisha au atakaa kimya.
5. Mmarekani anapenda ushoga anatetea ushoga . Ukiona mwanajamiiforum anamtetea mmarekani ujue anaweza pia kutetea sera za ushoger.
6. Mrusi ni baba wa heavy machines duniani. Ukitaka kujua heavy machines ninini basi nenda urusi.
7.Mrusi hapendi kiki hapendi masifa. Imagine nchi ya kwanza kwenda anga za juu ni urusi ila mmarekani kwa misifa sasa. Namkumbuka YURI GAGARIN na Teleshkova mwanamama wa kwanza kuizunguka Dunia.
Kiufupi naweza kwenda kuipigania urusi nikipata nafasi.