Putini anatoa tahadhari mara ngapi kwa siku?? Alitoa tahadhari akiwa Kyiv kwamba majeshi ya Ukraine waeke siala chini ukranie hawakuweka chochote, badala yake yeye ndio katimua zake kurudi Donbas, Jana katoa tena tahadhari tena na masaa kuhusu Muriopol jeshi la Ukraine liweke silaha chini hivi ninavyoandika kajibiwa hatuweki chochote kama mwanamme sogea na hajafanya lolote, Alitoa tahadhari kwa Finland na Sweden wasijaribu kujiunga NATO sasa rasmi Finland na Sweden wako mezani kujiunga na NATO, Alitoa tahadhari Marekani na nchi za Ulaya zisiisadie Ukraine na kwamba wakijaribu wataona cha Mtema Kuni., sasa Juzi Waingereza wameizamisha meli yake na kuiripulia mbali NINI KAFANYA??Putin kaomba poo lini? ametoa tahadhari ili badae wasije anza kulia lia kama desturi yao, Russia yuko imara silaha na wataalamu wanamiminika kila siku kutoka West, US tayari. 1/4 ya silaha zake imeshatumika , kwa kukutaarifú tu wanaopigana sio Ukraine peke yao nafikiri wale wa Uingereza pale Mariupol umewaona maana kwasasa ni mateka wa kivita wa Urusi
Putini sasaiv ni mtu mwenye Stress sanaa., yasemekana jamaa hana plan za vita wala hajuwi chochote, alichojua ni kuwapelekea wanajeshi wake vitani na kufa tu kama kumbikumbi,