Naipenda Urusi mpaka naumwa

Wengi wao waliosaidiwa na mrusi waligeuka kuwa madikteta wakubwa kuliko hata ukoloni wenyewe, baada ya nchi nyingi za kiafrica kupata Uhuru mpaka leo Kuna baadhi ya nchi viongozi wake waligeuka na kulewa madaraka kujinufaisha wao na familia zao
Iko hivi wengi wa viongozi wa nchi hizi walisoma katika nchi za 🇺🇸🇺🇸, 🇬🇧🇬🇧, 🇱🇺🇱🇺🇩🇪🇩🇪 . walisoma na wakawa wasomi wazuri tu . Walipopata Uhuru cha ajabu wakaanza kushikamana na 🇷🇺🇷🇺 ili awanoe vizuri kivita . Baada ya hapo wakaiga na utawala wa 🇷🇺🇷🇺 wa kijamaa.
Wengi wakawa ving'ang'anizi wa madarakani huku wakikingiwa kifua na mwalimu wao 🇷🇺🇷🇺.
 
Alisikika akisema mnyamanyafu mmoja wa kiwira tukuyu.
 
Urusi ilimuua Samoa Mashelle wakishirikiana na Makabulu walipoitungua Ndege yake.

Urusi alitiishia Kuivamia China baada ya kuona China ana ujamaa tofauti na wake ambao ukawa inspired kwa nchi nyingi akilekebisha katiba yake kujipa uhalali wa kuvamia nchi yoyote itakayonekana inafuata ujamaa lakini sio kama wa Lenin


Urusi alikuwa na mkataba wa Siri na Hitler wa kugawana Ulaya Mashariki tuseme ndio muasisi wa vita ya pili ya Dunia na msharika wa kwanza wa Hitler kabla hajageukwa na kuamua kujiunga na London na Washington kwenye mapambano

Urusi ndio mtu wa kwanza kusaidia Kutengeneza jeshi la Israel pamoja na jeshi la anga la Israel nchini Yugoslavia 1940's lilipojitangazia Uhuru na kufuatisha utaifa wao kama Wayahudi na sio wajamaa. Akageuka na kuanza mashambulizi ya kulihujumu

Urusi ndio taifa pekee ambalo limekuwa na Tabia kushambulia Hadi washirika wake au kuwahujumu walio ndani ya muungano wao awali wa Warsaw Pact mfano Czechoslovakia

Kifupi Rafiki wa kweli alikuwa CHINA wa zama hizo pamoja na CUBA mpaka leo anasalia hivyo

RUSSIA sio rafiki wa Africa ni mwana masirahi
 
Hebu jaza neno namba 6 sijakuelewa.
Halafu ongezea namba 8 kiteknolojia yupo juu hakuna wa kumfikia hata USA analijua hilo,uchaguz wa USA akatia mkono wake


Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Mpaka sasa US ameshatumia 1/4ya silaha zake, kuzipeleka kule Ukraine , sasa anawalazimisha watu wenye viwanda kuongeza uzalishaji maana hata yeye anahitaji silaha, hapo bado UK na wengine, hii ndio Nguvu ya Urusi shehena za silaha na wataalamu wanapishana Ukraine pale kuokoa jahazi, halafu wewe unaandika vitu kama umetoka usingizini vile
 
Siamini kama ichi ulichokiandika umekirudia kusoma japo mara 1 tena., sasa kama marekani ana 1/4 silaha zake zilizobaki kwanini jana Putini ameomba poo kwa marekani kuisaidia ukraine silaha na kutishia atapiga nuclear? Lakini kama russia ana shehena za silaha kwanini sasa imeingia siku ya 60 hajakamilisha lengo lake hata 1???

Emu rudi nyuma jiulize Russia walishindwa nn Kyiv na kurud Donbas? shehena na silaha zilikuwa wapi? Zelensky anadunda Kyiv muda wote lakini European Union waliingia Kyiv wakajaza mafomu yale naona Putin hakurusha ata jiwe
 
Mkuu ukipata mwanaume wa Kirusi ukiolewa utapata hadi uraia
 
Putin kaomba poo lini? ametoa tahadhari ili badae wasije anza kulia lia kama desturi yao, Russia yuko imara silaha na wataalamu wanamiminika kila siku kutoka West, US tayari. 1/4 ya silaha zake imeshatumika , kwa kukutaarifú tu wanaopigana sio Ukraine peke yao nafikiri wale wa Uingereza pale Mariupol umewaona maana kwasasa ni mateka wa kivita wa Urusi
 
JAMANI KWA JINSI PUTIN ANAVYONIPA RAHA HAPA DUNIANI AKINIOMBA CHOCHOTE NAMPA WENYE WIVU WAPASUKE PWAAAAAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…