Naipenda Urusi mpaka naumwa

Putini anatoa tahadhari mara ngapi kwa siku?? Alitoa tahadhari akiwa Kyiv kwamba majeshi ya Ukraine waeke siala chini ukranie hawakuweka chochote, badala yake yeye ndio katimua zake kurudi Donbas, Jana katoa tena tahadhari tena na masaa kuhusu Muriopol jeshi la Ukraine liweke silaha chini hivi ninavyoandika kajibiwa hatuweki chochote kama mwanamme sogea na hajafanya lolote, Alitoa tahadhari kwa Finland na Sweden wasijaribu kujiunga NATO sasa rasmi Finland na Sweden wako mezani kujiunga na NATO, Alitoa tahadhari Marekani na nchi za Ulaya zisiisadie Ukraine na kwamba wakijaribu wataona cha Mtema Kuni., sasa Juzi Waingereza wameizamisha meli yake na kuiripulia mbali NINI KAFANYA??

Putini sasaiv ni mtu mwenye Stress sanaa., yasemekana jamaa hana plan za vita wala hajuwi chochote, alichojua ni kuwapelekea wanajeshi wake vitani na kufa tu kama kumbikumbi,
 
Alie na stress ni Zelensky na umoja wa ulaya sio Putin, huku kwa Putin kazi inaendelea kila siku watu wa West wanatoa tahadhari kwa Ukraine , mara Easter war maneno kibao na vilio kibao
 
Alie na stress ni Zelensky na umoja wa ulaya sio Putin, huku kwa Putin kazi inaendelea kila siku watu wa West wanatoa tahadhari kwa Ukraine , mara Easter war maneno kibao na vilio kibao
Umoja wa ulaya wako busy kuiunga Ukrean uwanachama lakini Sweden na Finland mbioni kujiunga NATO, putin a big looser!
 
Ndo uwape na Ma**ko upendo ukolee vizur [emoji57]
 
Tambua sasa hivi wanakusaidia ni Nani
1.vyandarua
2.madawa.
3.condom
4.mikopo na misaada
5.hata filamu inazinduliwa kwao
 
Sidhani kama unachangia kwenye uzi huu. Umeanza kueleza 'unachoamini kinatokea Ukraine'
 
Umoja wa ulaya wako busy kuiunga Ukrean uwanachama lakini Sweden na Finland mbioni kujiunga NATO, putin a big looser!
Sisi tuna ugomvi na NATO kama wanataka kuwa magofu kama Ukraine wathubutu waone, kutaka ni moja na kujiunga ni mbili, sisi kama Urusi tunataka hii ya pili
 
Sisi tuna ugomvi na NATO kama wanataka kuwa magofu kama Ukraine wathubutu waone, kutaka ni moja na kujiunga ni mbili, sisi kama Urusi tunataka hii ya pili
Ona huyu Maskini wa kutupwa mrussi wa Shelui,jenga kwanza kibanda chako chs kujihifadhi kabla hujaanza kusikitikia walio kuzidi maisha mara 1000
 
Afganistan Taliban walikuwa wamapewa silaha na warusi na mwisho wa siku Marekani kanyosha mikono juu mwendo wa mateka.sasa unasemaje kwa ilo?.Assad mpaka leo anakula kiyoyozi
 
Niambie Urusi aloshirikiana kwenye nini ma Hitler kama sio kuwachafua warusi
 
Ona huyu Maskini wa kutupwa mrussi wa Shelui,jenga kwanza kibanda chako chs kujihifadhi kabla hujaanza kusikitikia walio kuzidi maisha mara 1000
Mimi kwasasa nimewazidi wengi pale Ukraini maana wengi hata kula yao hawajui , kwahiyo Ukraini kuna masikini wa kutupwa wengi tuuu, usikariri viva Putin
 
Afganistan Taliban walikuwa wamapewa silaha na warusi na mwisho wa siku Marekani kanyosha mikono juu mwendo wa mateka.sasa unasemaje kwa ilo?.Assad mpaka leo anakula kiyoyozi
Vita ya usoviet na afghanistan Dec 24, 1979 – Feb 15, 1989 Afghanistan mujahedeen walipewa silaha na mafunzo marekani kupambana na majeshi ya usovieti (USSR). Mwisho wa Siku USSR walitoka nduki baada ya kupigo kitakatifu. Moja ya mashujaa wa vita hiyo ni shaheed Osama bin Laden.
 
Mwanaume unamuambia mwanaume mwenzako aombe chochote.

Astaghafirullah

Sent using Jamii Forums mobile app
KWA AKILI ZAKO ZILIVYO MBOVU UNADHANI LEVEL NA AKILI YA PUTIN ANAWAZA MAVI KAMA WEWE? MIMI NIMESEMA AOMBE CHOCHOTE SASA WEWE KWAKUWA UNAWAZA UHARO NA USHUZI NDIKO AKILI ZAKO ZILIKOGOTA, NIKUKUMBUSHE TU KULE LINDI KAMA SIYO NTWARA KUNA MZEE ALIMPA MZEE WA BURIGI JOGOO NA BILA KUPEPESA MACHO MZEE WA BURIGI AKAMWAMBIA MLETA JOGOO KWAMBA ANAWEZA MUOA MAMA MZAZI WA MZEE WA BURIGI (R.I.P) SASA KAMA RAIS ALISEMA HIVYO MIMI NI NANI MBELE YA PUTIN? KUNA MENGI SANA YA KUMPA PUTIN ILA WEWE KWAKUWA UMEATHIRIWA NA WALE WAZEE WA MADEVU MAREFU HUNA JEMA UWAZAO ZAIDI YA KINYESI HUNA ADABU
 
Afganistan Taliban walikuwa wamapewa silaha na warusi na mwisho wa siku Marekani kanyosha mikono juu mwendo wa mateka.sasa unasemaje kwa ilo?.Assad mpaka leo anakula kiyoyozi
Amueke Assad mwengine bas Kyiv
 
CCM pitieni ujumbe huu unawahusu
Wengi wao waliosaidiwa na mrusi waligeuka kuwa madikteta wakubwa kuliko hata ukoloni wenyewe, baada ya nchi nyingi za kiafrica kupata Uhuru mpaka leo Kuna baadhi ya nchi viongozi wake waligeuka na kulewa madaraka kujinufaisha wao na familia zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…