Kumetokea malalamiko kutoka kwa wapinzani wa yanga kwamba ina bebwa na marefa na TFF, haya malalamiko sio sahihi kwani usajili wa yanga kwa aina ya wachezaji iliopata ni wazuri wanafanya timu iweze kupata matokeo
Kwahyo kusajili wachezaji wazuri ndio kutokubebwa??poor you