Naipenda Yanga inajibeba yenyewe

Naipenda Yanga inajibeba yenyewe

dejan

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
209
Reaction score
124
Kumetokea malalamiko kutoka kwa wapinzani wa yanga kwamba ina bebwa na marefa na TFF, haya malalamiko sio sahihi kwani usajili wa yanga kwa aina ya wachezaji iliopata ni wazuri wanafanya timu iweze kupata matokeo
 
Kwahyo kusajili wachezaji wazuri ndio kutokubebwa??poor you

TATIZO MASHABIKI PINZANI WA YANGA MNA KARIRII. YANGA INAZIFUNGA TIMU ZINGINE NJE YA MCHEZO KWA WACHEZAJI WAKE WAZURI WA KIMATAIFA
 
Back
Top Bottom